Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,684
- 8,342
Nakubaliana na wewe mia kwa miaHilo tatizo la kupoteza nafasi inaonyesha inabidi tuishi nalo tu hadi mwishoni mwa msimu. Tukipata hata kidogo tushukuru ila usiwe na wasiwasi, tunaenda fainali vizuri tu.