Fainali ya CAFCC 2025 ilikua ni baina ya Simba vs CAF.

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,246
Reaction score
7,110
Moja Kwa moja kwenye pointi.
Ilisemwa siku nyingi kua, Morocco Ina nguvu sana CAF,
Ikasemwa sana Mmiliki wa RS Berkane ni Kiongozi wa Chama Cha soka Cha Morocco,
Wakatiki huohuo yeye huyo ni Makamu wa Rais wa CAF,
Na anatajwa kua ni mjumbe muhimu katika ngazi za Viongozi huko FIFA.

Rais wa CAF ni mmiliki wa Mamelody Sundowns ambayo nayo iko fainali dhidi ya Pyramids ya Misri katika michuano ya kombe la washindi.
Wote Hawa Wana conflicts of Interest katika michuano ya mwaka huu.
Yaani mmiliki wa Mamelody Sundowns timu yake inacheza kombe la washindi na mmiliki wa RS Berkane timu yake inacheza kombe la shirikisho,
Yaani hapa ni Rais ana timu yake na makamu wa pili wa Rais ana timu yake na zote zimeingia fainali.

Je kwa hatua hii nani kati ya Rais na makamu wa Rais anaweza kua na ujasisri wa kumtaka mwenzake atende haki?

Vita ya Simba vs RS Berkane ilibadikika na kua ni vita baina ya Simba vs CAF Kwa faida ya RS Berkane kwa manufaa ya makamu wa pili wa Rais wa CAF ambae ni mmiliki wa RS Berkane.

Vita ya kwanza ilianza kujaribu kuwatoa mchezoni Simba Kwa kuwatangazia kua mchezo wa fainali huko Tanzania hautachezewa kwa Mkapa Bali utachezewa Zanzibar,tamko hilo lilitoka siku mbili kabla ya mchezo wa kwanza wa fainali uliotatajiwa kuchezwq baina ya Simba vs RS Berkane Morocco,Hali hii ilikusudiwa kuwatoa mchezoni Simba,na of course iliwatingisha.

Simba walijaribu kupambana ili kupata haki Yao ya kucheza kwenye uwanja wao wa asili wa nyumbani wa miaka yote lakani CAF ikalazimisha fainali itachezwa Zanzibar.

Serikali ya Tanzania ilifanya hatua zote kuutengeneza uwanja Kwa wakati na kwa vigezo vya CAF na mamlaka husika ya utabiri wa Hali ya hewa ikathibitisha kua, siku ya mchezo wa fainali hakutakua na mvua Dar es salaam,(na kweli siku ya 22,23,24 na 25 yenyewe hakukua na mvua Dar es salaam),CAF wakasisitiza mchezo uchezwe Zanzibar.

Siku ya fainali uwanjani.
Mechi kubwa kama hiyo,mechi ya fainali ni mechi ya rufaa,ni mechi ya hukumu,ni mechi ya maamuzi,ilipaswa kua mechi ya usawa na haki na haki ionekane kutendeka kwa pande zote mbili.

Mechi ilistahili VAR itumike ili kuondoa utata na lawama , lakini pamoja na ukubwa wa mechi yenyewe VAR haikutumika.
Unaweza ukadhani haikutumika Kwa bahati mbaya,lakini sio kweli,Bali ikijua ni sehemu ya mikakati na makusudi maalumu ya CAF kuishinda Simba Kwa manufaa ya RS Berkane.

Simba ilipata goli la kwanza kupitia Budo na ikapata goli la pili kupitia Mukwala, ambalo lilikataliwa kwa kile kilichosemwa ni off side, lakini bila kithipbitisho cha VAR, ili angalau kuondoa lawama.
Sasa VAR kazi yake ni Nini?(Wazungu wantushangaa sana hapa)
Hata hivyo Kwa vile CAF walikua wako vitani na Simba naamini hata kama VAR ingeonesha hakuna off side,naamini bado mwamuzi asingelikubli goli hili kwa sababu, ni yeye peke yake ndio wenye kauli na maamuzi ya mwisho baada ya kuitazama VAR.

Kadi nyekundu Kwa Kagoma haikustahili kabisa katika fainali.
Kwa uzoefu wangu fainali hua hazitoki sana kadi nyekund, Bali maonyo ya mdomo ya refa kumkemea na kumuonya kwa mdomo mchezaji ili kuziwezesha timu zinazocheza fainali kucheza kwa usawa na haki ili kupata bingwa asie na utata.(mfano,mara chache sana kadi nyekundu siku za fainali.
Kadi hutolewa TU, kama mchezaji alikusudia kumuumiza au kumjeruhi mpinzani wake)Kagoma hakua na mpango wa kumuumiza yule jamaa,Bali alikua anaenda kukata umeme,yaani kunyang'anya mpira.
Na alifanikiwa kuugusa mpira,
isipokua mchezaji wa CAF alitumia nafasi hiyo kujiangusha.
Hapa inaonesha refa ni kama alikua anaisubiri fursa hii kwa muda mrefu na akaitumia vilivyo kumpa kadi nyekundu Kagoma.

Tumeona kwenye mashindano ya wenzetu Ulaya kwenye hatua kama hii Kwa mazingira kama ya Kagoma, marefa hua wanapeta,ama humuita mchezaji na kumueleleza awe makini na uchezaji wake Kwani unaweza kuigharimu timu bila kutoa kadi kabisa,kwa sababu wanajua kua wachezaji wengine hufanya hila,ujanja na udanganyifu wa kuwatafutia wapinzani wao kadi nyekundu na hata penati.

Mimi naamini refa alikua amepangwa kuwadhoofisha Simba, endapo ataona Simba Wanacheza vizuri kuliko RS Berkane,na ikiwa wako katika nafasi ya kurudisha magoli yatakqyo wawezesha kushinda.

Ukweli Simba walionesha wazi kabisa wanaenda kushinda mechi hiyo.

Amini nakuambia,kama kabla ya kutolewa Kagoma, mfano RS Berkane angekua tayari amesha mfunga Simba,mfano goli moja bila au mbili bila, na Kagoma akafanya kile kilichotokea, refa wala asinge mpa kadi nyekundu.

Kadi lie ilikua ni mahsusi kwa ajili ya kuwapunguza nguvu Simba ili wasiiaibishe RS Berkane, kwa magoli mengi.
Na ukweli ni kwamba, pengo la Kagoma liliiathiri Simba pakubwa,licha ya Simba kucheza vizuri sana wakiwa pungufu,lakini wagecheza vizuri sana kama Kagoma angeendelea kuwemo.

Kagoma asingetolewa RS Berkane wasingeweza kupata hata goli moja,
Simba wangepata magoli zaidi ya mawili .

Kwa kifupi Simba hawakucheza na RS Berkane,Bali Simba walicheza na CAF.

Simba kubadilishiwa uwanja wao wa asili katikati ya mashindano kuliwaathiri,

Kagoma kupewa kadi nyekundu kionevu kuliwaathiri,

Kukataliwq goli la Mukwala kuliwaathiri.

Goli kama hilio lingekia limefungwa na RS Berkane lingekubaliwa.

Kusingekua na maelekezo kutoka chumba Cha VAR ya kulikataa goli.

RS Berkane walishinda kwao na Simba tulishinda kwetu.

RS Berkane ni wazuri,lakini Simba alikua mzuri kuwashinda wao siku ya fainali,ushahidi ni ball possession ilivyokua inasoma, Simba ilikua 66. wakati RS Berkane 33.

Wakati huohuo Simba ikiwa mbele Kwa goli moja na jingine lilikataliwa na wakiwa pungufu.

Simba ilishindwa na CAF sio RS Berkane,
Bingwa wa CAFCC 2025 ni CAF .
 
Tatizo mlimlisikiliza mwana FA akiwaaminisha mechi itachezwa Mkapa na wapo waliofika mbali zaidi sijui Magori eti anasema nimeongea wamefuta post yao ya kuonyesha mechi itachezwa wapi yaani magori uongee kimatumbi jamaa wakuzingatie baadae aliewaaminisha mechi kuchezwa mkapa anatuma ujumbe kama sio Naibu waziri wa michezo kazi kweli kweli..
 
Aise!
images (3).jpeg
 
Tukiachana na yote hayo Simba hawezi kuifunga Berkane, angalia takwimu zao kutoka mwanzo wa mashindano hadi fainali utapata jibu kama haitoshi angalia takwimu zao kwenye ligi zao za ndani utapata jibu! Kingine tunapenda kujidanganya wenyewe kwa ushindi wa uongo na kuhonga marefa tunapo enda kwenye marefa wenye akili timamu tutaona tubaonewa! sawa Simba alionewa mechi ya Zanzibar je ile iliyo chezwa Morocco ambapo Berkane alinyimwa goli la halali na penalty mbona hatusemi?
 
Moja Kwa moja kwenye pointi.
Ilisemwa siku nyingi kua, Morocco Ina nguvu sana CAF,
Ikasemwa sana Mmiliki wa RS Berkane ni Kiongozi wa Chama Cha soka Cha Morocco,
Wakatiki huohuo yeye huyo ni Makamu wa Rais wa CAF,
Na anatajwa kua ni mjumbe muhimu katika ngazi za Viongozi huko FIFA.

Rais wa CAF ni mmiliki wa Mamelody Sundowns ambayo nayo iko fainali dhidi ya Pyramids ya Misri katika michuano ya kombe la washindi.
Wote Hawa Wana conflicts of Interest katika michuano ya mwaka huu.
Yaani mmiliki wa Mamelody Sundowns timu yake inacheza kombe la washindi na mmiliki wa RS Berkane timu yake inacheza kombe la shirikisho,
Yaani hapa ni Rais ana timu yake na makamu wa pili wa Rais ana timu yake na zote zimeingia fainali.

Je kwa hatua hii nani kati ya Rais na makamu wa Rais anaweza kua na ujasisri wa kumtaka mwenzake atende haki?

Vita ya Simba vs RS Berkane ilibadikika na kua ni vita baina ya Simba vs CAF Kwa faida ya RS Berkane kwa manufaa ya makamu wa pili wa Rais wa CAF ambae ni mmiliki wa RS Berkane.

Vita ya kwanza ilianza kujaribu kuwatoa mchezoni Simba Kwa kuwatangazia kua mchezo wa fainali huko Tanzania hautachezewa kwa Mkapa Bali utachezewa Zanzibar,tamko hilo lilitoka siku mbili kabla ya mchezo wa kwanza wa fainali uliotatajiwa kuchezwq baina ya Simba vs RS Berkane Morocco,Hali hii ilikusudiwa kuwatoa mchezoni Simba,na of course iliwatingisha.

Simba walijaribu kupambana ili kupata haki Yao ya kucheza kwenye uwanja wao wa asili wa nyumbani wa miaka yote lakani CAF ikalazimisha fainali itachezwa Zanzibar.

Serikali ya Tanzania ilifanya hatua zote kuutengeneza uwanja Kwa wakati na kwa vigezo vya CAF na mamlaka husika ya utabiri wa Hali ya hewa ikathibitisha kua, siku ya mchezo wa fainali hakutakua na mvua Dar es salaam,(na kweli siku ya 22,23,24 na 25 yenyewe hakukua na mvua Dar es salaam),CAF wakasisitiza mchezo uchezwe Zanzibar.

Siku ya fainali uwanjani.
Mechi kubwa kama hiyo,mechi ya fainali ni mechi ya rufaa,ni mechi ya hukumu,ni mechi ya maamuzi,ilipaswa kua mechi ya usawa na haki na haki ionekane kutendeka kwa pande zote mbili.

Mechi ilistahili VAR itumike ili kuondoa utata na lawama , lakini pamoja na ukubwa wa mechi yenyewe VAR haikutumika.
Unaweza ukadhani haikutumika Kwa bahati mbaya,lakini sio kweli,Bali ikijua ni sehemu ya mikakati na makusudi maalumu ya CAF kuishinda Simba Kwa manufaa ya RS Berkane.

Simba ilipata goli la kwanza kupitia Budo na ikapata goli la pili kupitia Mukwala, ambalo lilikataliwa kwa kile kilichosemwa ni off side, lakini bila kithipbitisho cha VAR, ili angalau kuondoa lawama.
Sasa VAR kazi yake ni Nini?(Wazungu wantushangaa sana hapa)
Hata hivyo Kwa vile CAF walikua wako vitani na Simba naamini hata kama VAR ingeonesha hakuna off side,naamini bado mwamuzi asingelikubli goli hili kwa sababu, ni yeye peke yake ndio wenye kauli na maamuzi ya mwisho baada ya kuitazama VAR.

Kadi nyekundu Kwa Kagoma haikustahili kabisa katika fainali.
Kwa uzoefu wangu fainali hua hazitoki sana kadi nyekund, Bali maonyo ya mdomo ya refa kumkemea na kumuonya kwa mdomo mchezaji ili kuziwezesha timu zinazocheza fainali kucheza kwa usawa na haki ili kupata bingwa asie na utata.(mfano,mara chache sana kadi nyekundu siku za fainali.
Kadi hutolewa TU, kama mchezaji alikusudia kumuumiza au kumjeruhi mpinzani wake)Kagoma hakua na mpango wa kumuumiza yule jamaa,Bali alikua anaenda kukata umeme,yaani kunyang'anya mpira.
Na alifanikiwa kuugusa mpira,
isipokua mchezaji wa CAF alitumia nafasi hiyo kujiangusha.
Hapa inaonesha refa ni kama alikua anaisubiri fursa hii kwa muda mrefu na akaitumia vilivyo kumpa kadi nyekundu Kagoma.

Tumeona kwenye mashindano ya wenzetu Ulaya kwenye hatua kama hii Kwa mazingira kama ya Kagoma, marefa hua wanapeta,ama humuita mchezaji na kumueleleza awe makini na uchezaji wake Kwani unaweza kuigharimu timu bila kutoa kadi kabisa,kwa sababu wanajua kua wachezaji wengine hufanya hila,ujanja na udanganyifu wa kuwatafutia wapinzani wao kadi nyekundu na hata penati.

Mimi naamini refa alikua amepangwa kuwadhoofisha Simba, endapo ataona Simba Wanacheza vizuri kuliko RS Berkane,na ikiwa wako katika nafasi ya kurudisha magoli yatakqyo wawezesha kushinda.

Ukweli Simba walionesha wazi kabisa wanaenda kushinda mechi hiyo.

Amini nakuambia,kama kabla ya kutolewa Kagoma, mfano RS Berkane angekua tayari amesha mfunga Simba,mfano goli moja bila au mbili bila, na Kagoma akafanya kile kilichotokea, refa wala asinge mpa kadi nyekundu.

Kadi lie ilikua ni mahsusi kwa ajili ya kuwapunguza nguvu Simba ili wasiiaibishe RS Berkane, kwa magoli mengi.
Na ukweli ni kwamba, pengo la Kagoma liliiathiri Simba pakubwa,licha ya Simba kucheza vizuri sana wakiwa pungufu,lakini wagecheza vizuri sana kama Kagoma angeendelea kuwemo.

Kagoma asingetolewa RS Berkane wasingeweza kupata hata goli moja,
Simba wangepata magoli zaidi ya mawili .

Kwa kifupi Simba hawakucheza na RS Berkane,Bali Simba walicheza na CAF.

Simba kubadilishiwa uwanja wao wa asili katikati ya mashindano kuliwaathiri,

Kagoma kupewa kadi nyekundu kionevu kuliwaathiri,

Kukataliwq goli la Mukwala kuliwaathiri.

Goli kama hilio lingekia limefungwa na RS Berkane lingekubaliwa.

Kusingekua na maelekezo kutoka chumba Cha VAR ya kulikataa goli.

RS Berkane walishinda kwao na Simba tulishinda kwetu.

RS Berkane ni wazuri,lakini Simba alikua mzuri kuwashinda wao siku ya fainali,ushahidi ni ball possession ilivyokua inasoma, Simba ilikua 66. wakati RS Berkane 33.

Wakati huohuo Simba ikiwa mbele Kwa goli moja na jingine lilikataliwa na wakiwa pungufu.

Simba ilishindwa na CAF sio RS Berkane,
Bingwa wa CAFCC 2025 ni CAF .
Nyie wapumbavu mpira unachezwa uwanjani siyo humu mtandaoni. Kwanini usiwaandika hao CAF barua, Simba si mlipigwa 2 kule kwao? Na bado kule Zenji mkapigwa na goli, ht hiyo goli ingekubaliwa msingetoboa. Timu za Yanga na Simba ni timu za kisiasa, siku zote historia ni ngumu kuibadilisha. Wenzetu wanaweka mikakati ya mpira nyie siasa na maneno mengi.
 
Saa kumi usiku unaposti utoto? Mtu kama wewe ni wa kupigwa sungusungu.
Pumbavu kabisa km mshabiki mwenyewe ndio huyo unategemea timu itashindaje. Kesho atailalamikia na kuilaumu serikali kwa umaskini wake, anatumia muda wake kuandika huo upuuzi badala aamke aende kwenye mikakati yake. Jinga kabisa, ushindi wa Simba utampelekea ugali mezani? Huyo ni wale wanaoshinda kijiweni kujifanya wachambuzi wa mpira
 
Moja Kwa moja kwenye pointi.
Ilisemwa siku nyingi kua, Morocco Ina nguvu sana CAF,
Ikasemwa sana Mmiliki wa RS Berkane ni Kiongozi wa Chama Cha soka Cha Morocco,
Wakatiki huohuo yeye huyo ni Makamu wa Rais wa CAF,
Na anatajwa kua ni mjumbe muhimu katika ngazi za Viongozi huko FIFA.

Rais wa CAF ni mmiliki wa Mamelody Sundowns ambayo nayo iko fainali dhidi ya Pyramids ya Misri katika michuano ya kombe la washindi.
Wote Hawa Wana conflicts of Interest katika michuano ya mwaka huu.
Yaani mmiliki wa Mamelody Sundowns timu yake inacheza kombe la washindi na mmiliki wa RS Berkane timu yake inacheza kombe la shirikisho,
Yaani hapa ni Rais ana timu yake na makamu wa pili wa Rais ana timu yake na zote zimeingia fainali.

Je kwa hatua hii nani kati ya Rais na makamu wa Rais anaweza kua na ujasisri wa kumtaka mwenzake atende haki?

Vita ya Simba vs RS Berkane ilibadikika na kua ni vita baina ya Simba vs CAF Kwa faida ya RS Berkane kwa manufaa ya makamu wa pili wa Rais wa CAF ambae ni mmiliki wa RS Berkane.

Vita ya kwanza ilianza kujaribu kuwatoa mchezoni Simba Kwa kuwatangazia kua mchezo wa fainali huko Tanzania hautachezewa kwa Mkapa Bali utachezewa Zanzibar,tamko hilo lilitoka siku mbili kabla ya mchezo wa kwanza wa fainali uliotatajiwa kuchezwq baina ya Simba vs RS Berkane Morocco,Hali hii ilikusudiwa kuwatoa mchezoni Simba,na of course iliwatingisha.

Simba walijaribu kupambana ili kupata haki Yao ya kucheza kwenye uwanja wao wa asili wa nyumbani wa miaka yote lakani CAF ikalazimisha fainali itachezwa Zanzibar.

Serikali ya Tanzania ilifanya hatua zote kuutengeneza uwanja Kwa wakati na kwa vigezo vya CAF na mamlaka husika ya utabiri wa Hali ya hewa ikathibitisha kua, siku ya mchezo wa fainali hakutakua na mvua Dar es salaam,(na kweli siku ya 22,23,24 na 25 yenyewe hakukua na mvua Dar es salaam),CAF wakasisitiza mchezo uchezwe Zanzibar.

Siku ya fainali uwanjani.
Mechi kubwa kama hiyo,mechi ya fainali ni mechi ya rufaa,ni mechi ya hukumu,ni mechi ya maamuzi,ilipaswa kua mechi ya usawa na haki na haki ionekane kutendeka kwa pande zote mbili.

Mechi ilistahili VAR itumike ili kuondoa utata na lawama , lakini pamoja na ukubwa wa mechi yenyewe VAR haikutumika.
Unaweza ukadhani haikutumika Kwa bahati mbaya,lakini sio kweli,Bali ikijua ni sehemu ya mikakati na makusudi maalumu ya CAF kuishinda Simba Kwa manufaa ya RS Berkane.

Simba ilipata goli la kwanza kupitia Budo na ikapata goli la pili kupitia Mukwala, ambalo lilikataliwa kwa kile kilichosemwa ni off side, lakini bila kithipbitisho cha VAR, ili angalau kuondoa lawama.
Sasa VAR kazi yake ni Nini?(Wazungu wantushangaa sana hapa)
Hata hivyo Kwa vile CAF walikua wako vitani na Simba naamini hata kama VAR ingeonesha hakuna off side,naamini bado mwamuzi asingelikubli goli hili kwa sababu, ni yeye peke yake ndio wenye kauli na maamuzi ya mwisho baada ya kuitazama VAR.

Kadi nyekundu Kwa Kagoma haikustahili kabisa katika fainali.
Kwa uzoefu wangu fainali hua hazitoki sana kadi nyekund, Bali maonyo ya mdomo ya refa kumkemea na kumuonya kwa mdomo mchezaji ili kuziwezesha timu zinazocheza fainali kucheza kwa usawa na haki ili kupata bingwa asie na utata.(mfano,mara chache sana kadi nyekundu siku za fainali.
Kadi hutolewa TU, kama mchezaji alikusudia kumuumiza au kumjeruhi mpinzani wake)Kagoma hakua na mpango wa kumuumiza yule jamaa,Bali alikua anaenda kukata umeme,yaani kunyang'anya mpira.
Na alifanikiwa kuugusa mpira,
isipokua mchezaji wa CAF alitumia nafasi hiyo kujiangusha.
Hapa inaonesha refa ni kama alikua anaisubiri fursa hii kwa muda mrefu na akaitumia vilivyo kumpa kadi nyekundu Kagoma.

Tumeona kwenye mashindano ya wenzetu Ulaya kwenye hatua kama hii Kwa mazingira kama ya Kagoma, marefa hua wanapeta,ama humuita mchezaji na kumueleleza awe makini na uchezaji wake Kwani unaweza kuigharimu timu bila kutoa kadi kabisa,kwa sababu wanajua kua wachezaji wengine hufanya hila,ujanja na udanganyifu wa kuwatafutia wapinzani wao kadi nyekundu na hata penati.

Mimi naamini refa alikua amepangwa kuwadhoofisha Simba, endapo ataona Simba Wanacheza vizuri kuliko RS Berkane,na ikiwa wako katika nafasi ya kurudisha magoli yatakqyo wawezesha kushinda.

Ukweli Simba walionesha wazi kabisa wanaenda kushinda mechi hiyo.

Amini nakuambia,kama kabla ya kutolewa Kagoma, mfano RS Berkane angekua tayari amesha mfunga Simba,mfano goli moja bila au mbili bila, na Kagoma akafanya kile kilichotokea, refa wala asinge mpa kadi nyekundu.

Kadi lie ilikua ni mahsusi kwa ajili ya kuwapunguza nguvu Simba ili wasiiaibishe RS Berkane, kwa magoli mengi.
Na ukweli ni kwamba, pengo la Kagoma liliiathiri Simba pakubwa,licha ya Simba kucheza vizuri sana wakiwa pungufu,lakini wagecheza vizuri sana kama Kagoma angeendelea kuwemo.

Kagoma asingetolewa RS Berkane wasingeweza kupata hata goli moja,
Simba wangepata magoli zaidi ya mawili .

Kwa kifupi Simba hawakucheza na RS Berkane,Bali Simba walicheza na CAF.

Simba kubadilishiwa uwanja wao wa asili katikati ya mashindano kuliwaathiri,

Kagoma kupewa kadi nyekundu kionevu kuliwaathiri,

Kukataliwq goli la Mukwala kuliwaathiri.

Goli kama hilio lingekia limefungwa na RS Berkane lingekubaliwa.

Kusingekua na maelekezo kutoka chumba Cha VAR ya kulikataa goli.

RS Berkane walishinda kwao na Simba tulishinda kwetu.

RS Berkane ni wazuri,lakini Simba alikua mzuri kuwashinda wao siku ya fainali,ushahidi ni ball possession ilivyokua inasoma, Simba ilikua 66. wakati RS Berkane 33.

Wakati huohuo Simba ikiwa mbele Kwa goli moja na jingine lilikataliwa na wakiwa pungufu.

Simba ilishindwa na CAF sio RS Berkane,
Bingwa wa CAFCC 2025 ni CAF .
Nimeishia ulipoandika uongo kwamba goli la Offside halikuwmriwa na VAR.
 
Kupitia haya maelezo yako! Ninaweza kusema Ismail Aden Rage alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu.
 
Nimeishia ulipoandika uongo kwamba goli la Offside halikuwmriwa na VAR.
Halikuamuliwa na VAR. Refa alikwenda kwenye screen ya VAR?Mchezaji gani alikuwa offside mpira ulipopigwa na Ahoua?Uliuona mstari wa VAR?
 
Nakubaliana na mtoa mada Ile kadi nyekundu ilikuwa nyepesi sana

Alafu itakuwa huyo mwenyekiti na makamu wake yule ndio refa wao Ile mechi ya Yanga na Mamelod alikataa kwenda kuangalia VAR
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Sadio Manè hakupewa red card mara mbili kwenye AFCON ambazo katika mazingira ya kawaida alistahili, moja katika fainali na nyingine hii tackle katika mechi ya round ya pili ya mtoano.

1000085553.jpg

Na hii ni faulo ya Kagoma
1000085552.jpg

Hauwezi kutoa red card katika mechi ya fainali kirahisi rahisi vile tena katika nyakati zile za mchezo. Simba imekosewa sana na kuna heshima fulani inayostahili haikupewa.

Hauwezi kufanya maamuzi ya VAR ya kukataa goli muhimu katika mechi ya fainali bila kutuonyesha marudio ya VAR kututhibitishia uhalali wa maamuzi hayo.

Hapo hatujazungumzia matukio mengine mengi ya ndani ya uwanja yaliyolenga kabisa kuinyonga Simba. Mfano, tukio la faulo ya Mutale alilopeta akaenda kutoa kadi kwa Kapombe, Kagoma na Fadlu.

Kuna tukio la Camara kupigwa kipepsi wakati anadaka mpira akaamuru iwe kona wakati tukio kama hilo la kipa wa Berkane akaamuru iwe faulo.
 
Sadio Manè hakupewa red card mara mbili kwenye AFCON ambazo katika mazingira ya kawaida alistahili, moja katika fainali na nyingine hii tackle katika mechi ya round ya pili ya mtoano.

View attachment 3348428
Na hii ni faulo ya Kagoma
View attachment 3348429
Hauwezi kutoa red card katika mechi ya fainali kirahisi rahisi vile tena katika nyakati zile za mchezo. Simba imekosewa sana na kuna heshima fulani inayostahili haikupewa.

Hauwezi kufanya maamuzi ya VAR ya kukataa goli muhimu katika mechi ya fainali bila kutuonyesha marudio ya VAR kututhibitishia uhalali wa maamuzi hayo.

Hapo hatujazungumzia matukio mengine mengi ya ndani ya uwanja yaliyolenga kabisa kuinyonga Simba. Mfano, tukio la faulo ya Mutale alilopeta akaenda kutoa kadi kwa Kapombe, Kagoma na Fadlu.

Kuna tukio la Camara kupigwa kipepsi wakati anadaka mpira akaamuru iwe kona wakati tukio kama hilo la kipa wa Berkane akaamuru iwe faulo.
Makolo mtalalama Sana lakn ndo mshanyentwa na ile kauli mbiu ya hili tunachukua nadhani mlimaanisha mnachukua kimba.
 
Back
Top Bottom