Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Mar 2, 2012 #41 Kipipi said: Kongosho, wape kashdaaaaa............! Toka lini ugali ukanyonywa ati???? Click to expand... mmh hapa naona mipasho....
Kipipi said: Kongosho, wape kashdaaaaa............! Toka lini ugali ukanyonywa ati???? Click to expand... mmh hapa naona mipasho....
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Mar 2, 2012 Thread starter #42 nani anataka mwanamme shati? Akafie mbele abinukie na kiuno. Yaani wanamme, mwanamme gani anaikimbia afu leo anataka hifadhi? Kanifanya mashauzi mwenyewe klorokwini said: Khaaaa skujua JF kuna wataalam wa tarabu pia. Hii sredi hata isha mashauz haoni ndani. Kudadadadeki Click to expand...
nani anataka mwanamme shati? Akafie mbele abinukie na kiuno. Yaani wanamme, mwanamme gani anaikimbia afu leo anataka hifadhi? Kanifanya mashauzi mwenyewe klorokwini said: Khaaaa skujua JF kuna wataalam wa tarabu pia. Hii sredi hata isha mashauz haoni ndani. Kudadadadeki Click to expand...
doctorz JF-Expert Member Joined Aug 10, 2010 Posts 916 Reaction score 230 Mar 2, 2012 #43 Kaazi Kweelii kweelii !!!!!!!! Hakika weekend imewadia. Kisha mwisho wa mwezi. Mnapata wapi pesa nyie? Sie hata mishahara bado. Tumbueni tu. Wakati ni wenu.
Kaazi Kweelii kweelii !!!!!!!! Hakika weekend imewadia. Kisha mwisho wa mwezi. Mnapata wapi pesa nyie? Sie hata mishahara bado. Tumbueni tu. Wakati ni wenu.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Mar 3, 2012 Thread starter #44 tunatumbua au mnatutumbua?? doctorz said: Kaazi Kweelii kweelii !!!!!!!! Hakika weekend imewadia. Kisha mwisho wa mwezi. Mnapata wapi pesa nyie? Sie hata mishahara bado. Tumbueni tu. Wakati ni wenu. Click to expand...
tunatumbua au mnatutumbua?? doctorz said: Kaazi Kweelii kweelii !!!!!!!! Hakika weekend imewadia. Kisha mwisho wa mwezi. Mnapata wapi pesa nyie? Sie hata mishahara bado. Tumbueni tu. Wakati ni wenu. Click to expand...