Fainal CCC kupigwa Zanzibar

Fainal CCC kupigwa Zanzibar

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
2,369
Reaction score
6,717
Fainali ya CAF CC itapigwa Zanzibar, CAF wameindikia barua TFF & Simba kuwajulisha. CAF haijaridhishwa na pitch ya kwa mkapa hasa wakati wa mvua.
 
TAARIFA HAIJAWA COMFIRMED.

ILA TUNA RAIS....
32 B IMETEKETEA 3 YEAR.
WATANGANYIKA AMKENI.
 
Hadi fainali inachezwa, mvua zitakuwa zimekata...
 
Tunawatakia mchezo mzuri. Tupate Matokeo yatakayofanya kusiwe na kelele za hovyo hapa nchini.
 
Kama ni kweli ni jambo la kusikitisha kwa mashabiki wa Simba wa upande wa Bara ila laku kufurahisha kwa upande wa Zanzibar.
Eneo la kuchezea la uwanja wa Ben Mkapa lilisha Expire kwakua Tangu uwanja ujengwe haijawahi kuguswa kwa ukarabati.
Wakulaumiwa ni Serikali kwa uzembe wa kushindwa kuliwekea budget ya ukarabati wa pitch.

Simba nao wanahusika kwa kuharakisha uchakavu wa eneo la kuchezea kwa muda mwingi kuchimba eneo ilo kufukia makafara yanayo sababisha nyasi kuwa za njano na ata zikimwagiliwa na kuwekwa mbolea katika baadhi ya maeneo ya uwanja hazziwi za kijani.
Kama waandishi watabahatika siku eneo ilo litakapo chimbwa kwaajili ya ukarabati waombe nafasi ya kushuhudia kuona vitu vitakavyo fukuliwa na kuvipiga picha watapatwa na mshangao

Mwaka 1992 Uwanja wa taifa (Shamba la Bibi ) una fukuliwa eneonla kuchezea kwa mara ya kwanza kupisha ukarabati ilionekana mifupa ya makafara ya aina mbalimbali iliyo fukiwa.
Simba ni vinara wa uharibifu wa viwanja vya nyasi Asilia na bandia kwa kufukia makafara.

Angalizo: kwakua Simba wanatumia uwanja wa KMC kama uwanja wa nyumbani katika ligi ya NBC basi wahusika wa uwanja wa KMC wategemee eneo la kuchezea halitafika miaka mi tano litakua halifai.
 
Hongera sana Mama samia kwa kuipeleka fainali Zanzibar. Naomba utambue tu mimi na vijana wako Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa hakika tumefurahi sana kwa kweli.
airtel stadium Singida, kmc complex, Meg.Gen. Isamuhyo Stadium, na Azam complex vinaweza kutumika pia kwa michuano hiyo. Tz hakuna tena uhaba wa viwanja vyenye viwango vya kimataifa vya kuchezea mpira wa miguu nchini :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom