Faili halionekani

nasubiri somo mkuu
 
waiting............ waiting..............

na ikifika tisa unusu nachukua sick sheet,nazama amana ili nisije job wiki hii yote tuone kama taarifa flan zisipofika kwa bosi wiki hii kama hawajalitoa kwa nguvu
 
na ikifika tisa unusu nachukua sick sheet,nazama amana ili nisije job wiki hii yote tuone kama taarifa flan zisipofika kwa bosi wiki hii kama hawajalitoa kwa nguvu

kwa umebadili adhabu ya kunyonga mapa kujifaya wewe unaumwa hapa bado dk 34 ikifika na nusu nahisi adhabu itakuwa amna kesho utakuja job kawaida
 
ha ha ha kumchukua bosi ni mbali unaenda mwenyewe unatoa... wewe nae kusoma ujui hata picha uoni kamata mmoja mpe 30,000 ufanyiwe kazi yako unajifanya ni tip
Asante sana jirani. eti halionekani!!!!!? tatizo tipi. kwani wenyewe wanakula sura na mafaili? tena toa tip haraka ili mshahara wa kima cha chini uwe kima cha juu.
 
hahaha mkuu,wanakeraje?
Hawakeri hata kidogo kaka Kozo Okamoto.tatizo unaenda na sura kama unachorwa tatuu unafikiri watakuelewa hao nguchiro?? nenda na mtama ule mtamu mtamu wanauita serena au lulu kama faili hutaliona ndani ya sekunde kumi na nusu.
 
mbaya zaidi fail wapo nalo hapo ukitoa tu kidogo faili hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…