Hapa natumia Lumia 1520 window 10 preview sio mchezo na wiki ijayo tutapata update nyengine amabayo itakuwa ina uwezo wa kutumia wireless keyboard na mouse. Na utakuwa na uwezo wa kutumia office Kama una laptop. Duh hawa jamaa ni nouma
Mkuu hapa nina lumia 820, nimedownload miziki nifanyeje ili miziki niione kwenye memory card sasa hivi siioni kwenye memory?
1. Umesha update kwenda windows phone 8.1?
2. Umedownload na nini na umesave wapi?
1. Bado sija-update
2. Nimedowload na app ya "free mp3 downloader
update iende 8.1 itaondoa limitation ya hub, bila ya hivyo itabidi uplay humo humo ndani ya free mp3 downloader
1. Umesha update kwenda windows phone 8.1?
2. Umedownload na nini na umesave wapi?
mimi ipo updated 8.1, nilitumia Tube Pro kudownload video sasa haipo kwny SD card kuplay mpaka nifungue Tube Pro. nifanyaje ili iwe kwny SD card?
nenda store search
tube hd mate
then utaona app ilioandikwa hivyo idownload then ifungue itaload youtube, nenda setting halafu chagua pa kusave video then eka folder la sd card halafu back download video unayotaka itaplay kokote
Mkuu nikiwa nasubiri Nokia Lumia 640 kuna simu nimeiona vodacom inauzwa 195,000/=, ni Lumia 435.
Vipi kuhusu hii simu??? haitakuwa ndogo kama Lumia 620?? Coz Lumia 620 ilikuwa inanisumbua kwa size yake (ndogo) so katika ku-type ilikuwa inanisumbua. Nataka nianze na hiyo 435. Nini ushauri wako kuhusu hiyo simu??
mimi hapa ninatumia microsoft lumia 535. Ila napata shida ku-save whatsapp audio files. Mambo mengine yapo poa kabisa
nenda store search
tube hd mate
then utaona app ilioandikwa hivyo idownload then ifungue itaload youtube, nenda setting halafu chagua pa kusave video then eka folder la sd card halafu back download video unayotaka itaplay kokote
Heshima yako mkuu Chief-Mkwawa ,uliwahi kunipa ushauri mzuri sana kuhusu Lumia 820 nashukuru ilikuwa nzuri na nilishaiuza,sasa kuna mdau mafuriko ya juzi yalimwathiri anataka kuniuzia Lumia 625 kwa Tsh170,000 mkuu hanipigi kweli,ameniachia niingalie naona iko poa sana hasa ktk issue ya charge inakaa zaidi ya saa 14 3g,nachart,kupokea smu na games nacheza,hiyo bei kaka unaionaje na yapi mabaya au mazuri ya hizi Lumia. 625?
Yah lumia 625 inakaa sana na charge ni simu nzuri na kwa 170,000 ni rahisi sana ichukue.
Hio simu ina kioo kikubwa lakini resolution yake ni ndogo hivyo hakitakuwa clear sana hio ndip weakness yake kubwa, apart ya hivyo ni simu nzuri kila idara bila kusahau ina 4g hivyo ukiwa covered na eneo lenye 4g hutapata shida
Ila kumbuka hio simu ina ram 512mb hivyo 820 ni powerfull kuliko hio