Acheni kuwa kama tomaso,hiyo kitu inaamsha popo masaa24
..kwa wanaotaka ushuhuda wanipe madem zao waone kma kipa achubuki...yeluuwiiii hapa nimetka kunywa :banghead::banghead::banghead:
Kwa wale wanaoijua watakubaliana na mimi...hii juice ni hatar kwa mazoezi ya chumbani.
...
Acheni kuwa kama tomaso,hiyo kitu inaamsha popo masaa24
..kwa wanaotaka ushuhuda wanipe madem zao waone kma kipa achubuki...yeluuwiiii hapa nimetka kunywa :banghead::banghead::banghead:
weka picha
Na Hicho ndicho alichomaanisha mtoa mada ila wengi hawajamfaham
Yaani ndio tayari hapo?????!!!
Nawe umekunywa juis ya nini mpaka ushindwe kuleta taarifa ya kueleweka???!!
Ubuyu?