Nunua nyAnya chungu (za kijani) achana na zile nyeupe, fungu moja linatosha, uSizImenye wala kutoa vikonyo, osha vizuri then chemsha (unaweza kuongeza karoti na hoho kwa ajiri ya radha) usiweke chumvi. Chemsha mpaka ziive kabisa then pakua kula na kunywa juice yake.nusu Saa ni nyingi utaona mambo yake pia ni Afya tosha.
Watu wa Kagera wanajua sana hii kitu japo wanaipenda kama kiungo ktk milo yao na Ndo maana inawafAnye washugurike sana bila ya wao kujua driving force ni nini hahaha
Kama kitendea kazi chako kiko legelege, una mimina vimiminika ndani ya dakika moja, au ukigonga kamoja unalala hadi kesho, basi wee anza kula supu ya nyanya chungu, kama inakushinda basi tengeneza nyanya chungu kama mboga, make sure unagonga kila siku.
Kwa wanawake nyanya chungu zinafanya TUKUYU iwe ya moto, nyevu na tamu. Zinaongeza hamu ya kupiga tukio na pia zinafanya usichoke.
kwa ninavyofahamu hua znasaidia kuangeza mucus kweny vagina kwa wale wanawake ambao n wakavu uken na huifanya mashine(vag) ya mwanamke kuwa tam zaidWadau najua humu kuna wataalam wa kila aina. Je faida ya nyanya chungu kiafya ni zipi, nimetokea kuwa mpenzi sana wa nyanya chungu (zile chungu kabisa) napenda kujua kama zina faida yoyote
kiafya.
kwa ninavyofahamu hua znasaidia kuangeza mucus kweny vagina kwa wale wanawake ambao n wakavu uken na huifanya mashine(vag) ya mwanamke kuwa tam zaid
Pata ushauri wa daktari kabla hujatumia. Hiyo ni sumu tosha hasa ukitumia kwa muda mrefu
Nunua nyAnya chungu (za kijani) achana na zile nyeupe, fungu moja linatosha, uSizImenye wala kutoa vikonyo, osha vizuri then chemsha (unaweza kuongeza karoti na hoho kwa ajiri ya radha) usiweke chumvi. Chemsha mpaka ziive kabisa then pakua kula na kunywa juice yake.nusu Saa ni nyingi utaona mambo yake pia ni Afya tosha.
Watu wa Kagera wanajua sana hii kitu japo wanaipenda kama kiungo ktk milo yao na Ndo maana inawafAnye washugurike sana bila ya wao kujua driving force ni nini hahaha
mkuu hili neno kama lina kaukweli kwa mbaaaaali........nyanya chungu na ndizi zinafanya k inakuwa na maji balaa!!ndio maana kina koku full swimming pool,napita tu
Hallo Akohi kwa hiyo unatumiaje i mean utatumia only once or kila ukiwa na match.
Tafadhali naomba maelekezo ya kutosha .
Nashauri iwe ni sehemu ya mulo wako kwa maana kwamba kila unapounga mboga basi walau nyanya chungu kwa mbali Ila kama ni katika mboga basi inabidi utoe kikonyo Ila usizimenye. Jitahdi kila uendapo sokon kuemea unanunua na nyanya chungu zile za kijani tatizo watu wengi hawazipendi.
Zitumie kama kiungo cha kawaida Mf: karoti, hoho, kitungu, etc
Kwa sasa ili upate matokeo ya haraka basi inabidi uchemshe zenyewe na fanya hivyo walau nusu Saa kabla ya mechi.
Hii ni NZURI kwa jinsi zote
NYanya chungu ni sumu?