Faida za muwa ni zipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida za muwa ni zipi?

Discussion in 'JF Doctor' started by Flammable, Jul 16, 2013.

 1. F

  Flammable JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2013
  Joined: May 1, 2013
  Messages: 876
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polen na kazi za kujenga Taifa hili changa.Naomba kujuzwa kuwa zipi ni faida za muwa?unaweza kuwa miongoni mwa mlo kamili?NAWASILISHA
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2013
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,069
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  hata sukari guru huijui? muwa uwe mnene na mrefu pia imara, huo ndio mtwangio wa haja
   
 3. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2013
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,069
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 0

  nitafute nikuzawadie
   
Loading...