Faida za mboga za majani

Faida za mboga za majani

Mbingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
411
Reaction score
230
Wadau wana jamvi naombeni taarifa sahihi eeti mbogaza majani zinasaidia nini ukimpatia kuku
 
Mpe kwanza huyo kuku ale afu uone kitatokea nini
 
inawapatia virutubisho vitakavyowawezesha kukua vizuri na kinga kwa baadhi ya magonjwa, maana zile mboga zina vitamins na madini mbali mbali muhimu.
 
Back
Top Bottom