Hahahah! Usisahau kumwagiwa mdomoni
Shahawa zako ni sumu kwa mustakabali Wa rutuba ya afya yake .Mimi nikijamiiana n mwenza wangu wote tunafurahia tendo lkn cha ajabu yote mliyoongea hapo juu cjaona ht kimoja kw mwenza wangu badala yake kila nikijamiiana na mwenza wangu namuona anadhohofu mwili badala ya kurutubika tatizo ni nini? naombeni jibu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Goodfool...... Gayⓛⓔⓢⓑⓘⓐⓝ
Umeuliza swali zuri mkuu kwamba (manii zinaingiaje kwenye mfumo wa damu wa mwanamke)Je ni vipi hiyo protini ya shahawa itafonzwa kutoka kwenye uke iende kwenye damu ili ikatengeneze shepu? Inajulikana kuwa aside za amino hufonzwa kwenye utumbo mwembamba. Je shahawa zinapita wapi kwenda kwenye mifupa na uti wa mgongo zikitokea kwenye uke? Mtoa mada nisaidie maana najiandaa na mtihani wa darasa la saba na huu uzi umekuja wakati muafaka.
Umekosea "guy"Goodfool...... Gay
Sijakosea "gay" kama ilivyo kwa lesbian basi ndivo kuna gay ...Umekosea "guy"
Bila shaka wewe uko digestive kwahiyo si uchafu kwako!Kama papuchi nayo ipo kwenye digestive system hapo sawa..unless otherwise nikuchafuana tu.. Kumwachia mwenzio mzigo wa mbegu tu
Shahawa zako hazina protini yakutosha hivo sio rahisi kuweza kuona mabadiliko.Mimi nikijamiiana n mwenza wangu wote tunafurahia tendo lkn cha ajabu yote mliyoongea hapo juu cjaona ht kimoja kw mwenza wangu badala yake kila nikijamiiana na mwenza wangu namuona anadhohofu mwili badala ya kurutubika tatizo ni nini? naombeni jibu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzinzi utakuua mkuu[emoji20]
[emoji23][emoji23][emoji23]naomba nikumwagie leo si happy birth day yako?
Infact ilitakiwa wawe wanazila kabisa sema vibuli vyaoKwa hiyo unamaanisha shahawa ni chakula kizuri kwa wanawake.?
Shahawa zikishatolewa kwenda kwenye mfuko wa uzazi hubakia kuwa uchafu na hutolewa Kama uchafu kupitia njia ya uke.Mabadiliko yanayotokea ya kimaumbile ,sauti na mengineyo hutokana na hormones kama oestradiol ,hivyo mbegu zamwanaume hazina uhisiano kabsa na mabadiliko ya maumbile na muonekano kwa wanawake.FAIDA YA WANAWAKE KUKOJOLEWA NDANI SHAHAWA
(1) Humtengeza mwanamke shepu yake. Shahawa zinapozunguka katika mwili huwa na virutubisho vingi vya protini.
(2) Humsaidia mwanamke kutengeneza ngozi yake kwa virutubisho vya shahawa na sio kupaka usoni.
(3) Humuongezea mwanamke urembo zaidi hasa wa macho. Macho yanakuwa meupe na mazuri zaidi.
(4) Husaidia mwanamke kuwa na sauti nzuri zaidi kwa kuwa shahawa hutengeneza ala nzuri za sauti katika mfumo wa sauti.
(5) Husaidia mwanamke kuwa na akili nyingi zaidi katika mfumo wa fahamu. Shahawa hukimbilia katika muundi wa mgongo na kumfanya mwanamke kuwa na mgongo na mifupa imara na milaini.
(6) Humfanya mwanamke kutokuwa na tatizo la kupoteza fahamu na maradhi ya kuchekacheka.
(7) Husaidia kizazi cha mwanamke kisiwe na maumivu ya mara kwa mara, hasa kinapoingia baridi.
NB: Kwa wanandoa tuu. Mnaogopa ndoa endeleeni kusubiri
cc:Catherine gal
Kama povu vileShahawa zikishatolewa kwenda kwenye mfuko wa uzazi hubakia kuwa uchafu na hutolewa Kama uchafu kupitia njia ya uke.Mabadiliko yanayotokea ya kimaumbile ,sauti na mengineyo hutokana na hormones kama oestradiol ,hivyo mbegu zamwanaume hazina uhisiano kabsa na mabadiliko ya maumbile na muonekano kwa wanawake.