Hebu twende taratibu, uchunguzi wa anga si ugunduzi wa Marekani, na wala NASA si invention. Uchunguzi wa anga umeanza maelefu ya miaka.Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga
Sasa leo tuwape maua yao hawa marekani kwa gunduzi zilizofanywa kuisaidia dunia
Mimi nitaanza hapaa
1. Internet kagundua yeye leo hii tunaconnect bara kwa bara nchi kwa nchi
2. Personal computer PC
3. GPSS
4.Smartphone na OS (iOS, Android)
5.Uchunguzi wa Anga (NASA)
6.Mitandao ya Kijamii (Facebook, Twitter, YouTube)
7.Huduma za Mtandaoni (Cloud Computing)
haya mdau shuka na gunduzi za marekani wasiozijua wazijue
Mkuu lakini safari yake iko wazi kutoka kuanzia Zip2 corporation kuiuza, na kuwekeza kwingine.Siyo rahisi kihivyo, bado Marekani kuna white privilege.
Hapana mkuu. Hiki si jambo la kusema ni kama taa unaweza kuiwasha ikawa On au ukaizima ikawa Off, ni kitu kinatoweka ngazi kwa ngazi.Tumeaminishwa ubaguzi wa ngozi ulishakomeshwa huko.
Mkuu,Mkuu lakini safari yake iko wazi kutoka kuanzia Zip2 corporation kuiuza, na kuwekeza kwingine.
Ubaguzi ni asili ya binadamu. Hivyo, upo sehemu zote ambako binadamu wapo.Tumeaminishwa ubaguzi wa ngozi ulishakomeshwa huko.
Inawezekana kweli mkuu hilo limechangia. Lakini kuna waafrika wanazaliwa kwenye familia zinazojiweza ila bado hawafiki kokote.Mkuu,
Hata alipoanzia tu alianza kwenye white privilege South Africa.
Ndiyo maana kafika hapo Elon Musk si Julius Malema.
Kwani Marekani hakuna Wamarekani weusi walio na mafanikio?Inawezekana kweli mkuu hilo limechangia. Lakini kuna waafrika wanazaliwa kwenye familia zinazojiweza ila bado hawafiki kokote.
Kuna jambo moja naona linajadiliwa sana mtandaoni. Eti black Americans wana tatizo la kuwaita blacks ambao shuleni wako focused sana na masomo, hawajishughulishi na magang, hawazungumzi kile kiingereza cha mtaani kuwa ni whites katika ngozi nyeusi na eti baadhi ya wazazi nao hushiriki kuwasema watoto wenye tabia hiyo.
Mimi siishi Marekani ila nimekuwa nikifuatilia mijadara kadhaa tena ya blacks wenyewe ambao wanadai black culture now imekuwa misinterpreted kuwa kama lifestyle fulani ya hovyo na imeharibu vijana wengi kiasi kwamba kwa sas badala ya watu weusi kudeal na matatizo yao halisi wanawatuhumu wazungu kuwa wanapata upendeleo.
Mbona mtu mweusi kama David L. Steward ameweza kutengeneza pesa katika tech industry mkuu.
Mbona wahindi wamekuja marekani na wameishia kuwa ma CEO wa makampuni makubwa mkuu.
Mimi nadhani tatizo la mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe kuliko hata hayo mengine. Nadhani tunachukuliwa poa kwa sababu hata mambo yetu ya ajabu ajabu tukiwa kwetu Afrika na hata ugenini.
Wapo na mmoja nimemtaja hapo David L. Steward na nimemtaja makusudi kwa sababu yuko kwenye tasnia ya IT.Kwani Marekani hakuna Wamarekani weusi walio na mafanikio?
Wapo Wamarekani weusi wengi tu wenye mafanikio kwenye nyanja mbalimbali.Wapo na mmoja nimemtaja hapo David L. Steward na nimemtaja makusudi kwa sababu yuko kwenye tasnia ya IT.
Kuna false dichotomies nyingi hapa.Inawezekana kweli mkuu hilo limechangia. Lakini kuna waafrika wanazaliwa kwenye familia zinazojiweza ila bado hawafiki kokote.
Kuna jambo moja naona linajadiliwa sana mtandaoni. Eti black Americans wana tatizo la kuwaita blacks ambao shuleni wako focused sana na masomo, hawajishughulishi na magang, hawazungumzi kile kiingereza cha mtaani kuwa ni whites katika ngozi nyeusi na eti baadhi ya wazazi nao hushiriki kuwasema watoto wenye tabia hiyo.
Mimi siishi Marekani ila nimekuwa nikifuatilia mijadara kadhaa tena ya blacks wenyewe ambao wanadai black culture now imekuwa misinterpreted kuwa kama lifestyle fulani ya hovyo na imeharibu vijana wengi kiasi kwamba kwa sas badala ya watu weusi kudeal na matatizo yao halisi wanawatuhumu wazungu kuwa wanapata upendeleo.
Mbona mtu mweusi kama David L. Steward ameweza kutengeneza pesa katika tech industry mkuu.
Mbona wahindi wamekuja marekani na wameishia kuwa ma CEO wa makampuni makubwa mkuu.
Mimi nadhani tatizo la mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe kuliko hata hayo mengine. Nadhani tunachukuliwa poa kwa sababu hata mambo yetu ya ajabu ajabu tukiwa kwetu Afrika na hata ugenini.
Historia inatuambia watu wa misri walikuwa na chuo kikuu miaka mingi sana ..........wanaandika na kufuta sasa china katokea wapi tena??.........Hebu twende taratibu, uchunguzi wa anga si ugunduzi wa Marekani, na wala NASA si invention. Uchunguzi wa anga umeanza maelefu ya miaka.
Cloud computing japo wazo limetoka marekani, ila nchi kibao zimehusika ikiwemo Germany ambayo ilitengeneza miundombinu ya usalama wa data na kanuni za faragha.
Uingereza nayo imehusika katika teknolojia hii.
Ukija kuangalia kwa umakini, utagundua vitu huwa vinagunduliwa nchi fulani na kuendelezwa nchi mbalimbali.
Mfano, gari iligunduliwa Germany, lakini Henry Ford akaleta mapinduzi katika uzalishaji wa magari kwa wingi baada ya kutembelea kiwanda cha kuchinja ng'ombe.
China ndipo printing na karatasi imegunduliwa, lakini ni WAjerumani waliofanya mapinduzi katika printing.
Ni kama sasa hivi ambavyo china ina patents nyingi zaidi za 5G kuliko nchi yoyote.
Wasagaji na mashoga nao wamegunduliwa huko huko ???Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga
Sasa leo tuwape maua yao hawa marekani kwa gunduzi zilizofanywa kuisaidia dunia
Mimi nitaanza hapaa
1. Internet kagundua yeye leo hii tunaconnect bara kwa bara nchi kwa nchi
2. Personal computer PC
3. GPSS
4.Smartphone na OS (iOS, Android)
5.Uchunguzi wa Anga (NASA)
6.Mitandao ya Kijamii (Facebook, Twitter, YouTube)
7.Huduma za Mtandaoni (Cloud Computing)
haya mdau shuka na gunduzi za marekani wasiozijua wazijue
Internet imeletwa na uongozi madhubuti wa serikali sikivu ya CCMUsa ndo ameleta internet
Misri walikuwa wanachonga maandishi yao kwenye mbao, mawe sio kwenye karatasi. Mchina ndiye mgunduzi wa karatasi. Maandishi ya kale hayakuanzia kwenye karatasiHistoria inatuambia watu wa misri walikuwa na chuo kikuu miaka mingi sana ..........wanaandika na kufuta sasa china katokea wapi tena??.........
Hapana. Nadhani viligunduliwa Sodoma na Gomora.Mashoga na
Wasagaji na mashoga nao wamegunduliwa huko huko ???
Ni kweli kiasi fulani,nasema kiasi kwa maana anafanya yote hayo kwq faida,ivo kuna element za unyonyaji ndani yake,,ndo maana na mchina anajaribu sana kutengeneza vyake na leo hii anarumbana sana na USA kwa sababu anagusa maslahi yake, USA anataka atawale soko ye peke yake,ubinafsi huu haifai.1. Magari
2. Ndege
3. Matumizi ya mafuta na gas
Ni sahihi mkuu iko hivo kitu chagunduliwa sehem flani na kuendelezwa sehemu fulaniHebu twende taratibu, uchunguzi wa anga si ugunduzi wa Marekani, na wala NASA si invention. Uchunguzi wa anga umeanza maelefu ya miaka.
Cloud computing japo wazo limetoka marekani, ila nchi kibao zimehusika ikiwemo Germany ambayo ilitengeneza miundombinu ya usalama wa data na kanuni za faragha.
Uingereza nayo imehusika katika teknolojia hii.
Ukija kuangalia kwa umakini, utagundua vitu huwa vinagunduliwa nchi fulani na kuendelezwa nchi mbalimbali.
Mfano, gari iligunduliwa Germany, lakini Henry Ford akaleta mapinduzi katika uzalishaji wa magari kwa wingi baada ya kutembelea kiwanda cha kuchinja ng'ombe.
China ndipo printing na karatasi imegunduliwa, lakini ni WAjerumani waliofanya mapinduzi katika printing.
Ni kama sasa hivi ambavyo china ina patents nyingi zaidi za 5G kuliko nchi yoyote.
Uko sahihi kabisa aseUbaguzi ni asili ya binadamu. Hivyo, upo sehemu zote ambako binadamu wapo.
Nenda India huko uone kama unaweza kuishi na kufanya shughuli zako mpaka uwe milionea au bilionea!
Watu hata wakiwa wa rangi moja, Sarasota tu sababu ya kubaguana.
Rwanda huko bado wanabaguana Ingawa ni kichinichini. Hata Nigeria vivyo hivyo.
Hata hapa hapa Tanzania vichembe vya ubaguzi vipo.
Marekani imepiga hatua kubwa sana katika kupambana na ubaguzi wa rangi, licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu ambao bado wanaiona Marekani kuwa ni nchi ya kibaguzi.
Sodoma na Gomora zipo nchi gan ?Hapana. Nadhani viligunduliwa Sodoma na Gomora.