PathwayzZote
Member
- Jul 4, 2024
- 78
- 102
Hasara zake zipo piaTaja na hasara
Ofcoz yapo mengi
1. MagariNi kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga
Sasa leo tuwape maua yao hawa marekani kwa gunduzi zilizofanywa kuisaidia dunia
Mimi nitaanza hapaa
1. Internet kagundua yeye leo hii tunaconnect bara kwa bara nchi kwa nchi
2. Personal computer PC
3. GPSS
4.Smartphone na OS (iOS, Android)
5.Uchunguzi wa Anga (NASA)
6.Mitandao ya Kijamii (Facebook, Twitter, YouTube)
7.Huduma za Mtandaoni (Cloud Computing)
haya mdau shuka na gunduzi za marekani wasiozijua wazijue
Upo sahihi mkuuMarekani imejenga model ya nchi ambayo mtu yeyote anaweza kuwa yeyote, madaraja yapo ila hayaheshimiwi.
Si kama Uingereza au India ambako ukizaliwa tu unajulikana sehemu yako ni wapi na hutakiwi kuondoka hapo.
sahihiHata hii huduma ya JF hupitia Marekani pia. Asilimia 70 ya huduma za intaneti duniani hupitia Marekani.
Kama upo Mahaha, Dumila, Sumve, na Biharamulo na unakunywa Coca Cola au Pepsi au vinywaji vingine vinavyotengenezwa na hayo makampuni, ishukuru Marekani.
Kama unapenda Bongo Fleva, Afrobeats, au Amapiano, basi ishukuru hip hop [iliyovumbuliwa na Foundational Black Americans] ambayo ina ushawishi mkubwa sana katika hizo tasnia.
Angalia tu jinsi wanamuziki wake wanavyovaa, swaga zao, namna waongeavyo, na utagundua kuwa Wamarekani weusi wana ushawishi mkubwa sana.
Hata mfumo wa uongozaji wa urais, ishukuriwe Marekani maana huko ndiko ulikoanzia.
Magari ni Marekani?1. Magari
2. Ndege
3. Matumizi ya mafuta na gas
Na sisi bongo tutafika hizo level tuendelee kupambanaJamaa wako mbali sana.
Hasara zipo pia ila hapa tuko kwenye faida kwanzaTutajie na hasara pia
FafanuaMarekani imejenga model ya nchi ambayo mtu yeyote anaweza kuwa yeyote, madaraja yapo ila hayaheshimiwi.
Si kama Uingereza au India ambako ukizaliwa tu unajulikana sehemu yako ni wapi na hutakiwi kuondoka hapo.
Imeifanya dunia yote kuwa watumwa wake kwa kutumia dollar.Tutajie na hasara pia