Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 4,982
- 4,482
- Thread starter
- #201
Ndio mkuu,Mkuu Unawapa elimu ya chuo Kikuu vijana wako hongera sana wape elimu nzito sana ambayo sio rahis mtu wa kwaida kuijuwa hiyo elimu. Waelimishe wajuwe kuwa elimu ni bahari kubwa sana.
Wengi wao wapuuzaji tu hawaelewi wanaona moshi moshi na uchawi chawi
Rakims