mkuu hupati kitu ila unaweza ukapata hela indirect.
kuwa na page fb yenye like nyingi ni sawa mtu kakushusha kkoo congo pale akakupa frame its up to you kujua ni biashara gani ufanye.
mfano labda una page ya facebook ina like 500k hao watu laki 5 unaweza ukawatumia kwa faida yako kama kufanya affiliate programs kila watu wakijiunga unapata hela.