Ajira Tanzania
Member
- Feb 8, 2017
- 79
- 27
Wakuu habar zenu naomba kujuzwa faida za kuwa na akaunt MPAWA ya vodacom...na hasara zake.
Sawa mkuuPiga huduma kwa wateja vodacom
Nime kusomaFaida ni kuwa kadiri unavyoweka akiba yako ndipo kiwango cha kukopa pesa kinapanda. Pia ukilipa deni kwa wakati kiwango cha kukopa kinapanda pia.
Hasara yake: kama una akiba mpawa na una deni uliloshindwa kulipa kwa wakati, ile akiba yote wanakata na kulipa deni kimya kimya bila kukupa taarifa