Faida za kuwa ÇÇM

Faida za kuwa ÇÇM

FAIDA ZA KUWA ÇÇM

Anaandika, Robert Heriel.

Kwenu Vijana, Mabibi na mabwana, sitaki kuwachosha, zifuatazo ni faida za kuamua kuwa ÇÇM;

1. Ukipima UKIMWI hauonekani kwenye vipimo hivyo technically kutokuwa na UKIMWI lakini literally utahamia kwenye kivuli chako ukitembea. Yaani kivuli chako kitakuwa kipo Positive lakini mwili wako utakuwa Negative.

2. Utakutwa na hatia kotini hata Kama ungefanya uhalifu mara elfu.
Unajua ni Kwa nini? Kwa sababu Kotini hawana sheria za kukushtaki, na Kama zipo hizo sheria nasi hawana hukumu ukikutwa na hatia hivyo technically utaachiwa huru Ila literally waliokushtaki ndio watatiwa mahabusu na kuonja joto la jiwe.

3. Utafanya biashara na hautadaiwa Kodi, na hata ukidaiwa utasamehewa.

4. Askari watakusalimia shikamoo, utawajibu marhaba hamjambo Vijana.

5. Utaoa bila kudaiwa mahari, hata wakikudai mahari utawapa Kadi ya ÇÇM wakatoe pesa kwani Kadi hiyo unapesa nyingi. Harusi ni bure.

Uamuzi ni wako. Kusuka au kunyoa.
Hata Petrol ikipanda au mfumuko wa bei kwa bidhaa,itapanda kwa wanachadema tu,mwana CCM akitoa kadi bei inajishusha yenyewe!
 
Back
Top Bottom