Faida za kuwa ÇÇM

Faida za kuwa ÇÇM

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,143
Reaction score
79,573
FAIDA ZA KUWA ÇÇM

Anaandika, Robert Heriel.

Kwenu Vijana, Mabibi na mabwana, sitaki kuwachosha, zifuatazo ni faida za kuamua kuwa ÇÇM;

1. Ukipima UKIMWI hauonekani kwenye vipimo hivyo technically kutokuwa na UKIMWI lakini literally utahamia kwenye kivuli chako ukitembea. Yaani kivuli chako kitakuwa kipo Positive lakini mwili wako utakuwa Negative.

2. Utakutwa na hatia kotini hata Kama ungefanya uhalifu mara elfu.
Unajua ni Kwa nini? Kwa sababu Kotini hawana sheria za kukushtaki, na Kama zipo hizo sheria nasi hawana hukumu ukikutwa na hatia hivyo technically utaachiwa huru Ila literally waliokushtaki ndio watatiwa mahabusu na kuonja joto la jiwe.

3. Utafanya biashara na hautadaiwa Kodi, na hata ukidaiwa utasamehewa.

4. Askari watakusalimia shikamoo, utawajibu marhaba hamjambo Vijana.

5. Utaoa bila kudaiwa mahari, hata wakikudai mahari utawapa Kadi ya ÇÇM wakatoe pesa kwani Kadi hiyo unapesa nyingi. Harusi ni bure.

Uamuzi ni wako. Kusuka au kunyoa.
 
Chini ya CCM lolote linaweza kutokea wakati wowote...hivyo basi Makonda aendelee kula mema ya nchi
 
Hiyo heading yanko ingesomeka FAIDA ZA KUWA MTAWALA ... ungerahizisha sana
 
Sabaya alikuwa ni pandikizi lililokuwa limeandaliwa kumdhuru Mbowe endapo angefungwa kifungo kirefu gerezani lkn bahati mbaya wakashindwa kumtia hatiani Mbowe.

Ikabidi pandikizi liachiwe
 
Hofu na woga wenu ndio ushindi wao.

Hakuna shujaa kwa kupigania ubaya.
Hakuna shujaa kwa kupigania dhulma.

Ni Kwa sababu wanaofanyiwa hayo nao ni waovu au watu wenye nia ovu ya kutafuta madaraka.

Kama kweli Kuna mtu alifanyiwa ubaya halafu haki yake imedhulumiwa Bado ana jambo la kufanya .
Ditopile Kuna jambo baya sana alimfanyia Mtu kule Tabora. Akajiona yeye ni mwenye nchi wa CCM kama kawaida yao.
Yule aliyefanyiwa aliulizwa TU unauhakika kuwa alifanya hivyo? Basi uhakika ukipopatikana yule mtu akasema namfuta kwenye madaraka Moja Kwa Moja?

Kilichompata ni Yale Yale ya ubaya na akaondoka kwenye Ramani ya siasa.
Hata huyo aliyeshindishwa kesi wakati Kuna watu aliwaumiza Kwa mateso makubwa Bado Wanaweza ama wakasamehe au wakawatumia viumbe visivyoonekana kulipa kisasi mana ukweli vinaujua. Ni kuamua TU mana waafrika hatukuwa na Magereza Wala Bunduki lakini waliotenda uovu walipata malipo yao Kwa namna yoyote.

Zipo mguvu zisizoonekana na Zinafanya kazi Kwa kiwango Cha juu Sana.

Tafuta ,mpunga na kumpa gwiji mmoja anayejua kusoma albadiri siku tatu mm fululizo atapata majibu yake.Alimradi iwe kweli.
 
Mbona Mbowe naye amesamehewa ?? Aisee nyie cdm wanafiki sana
Mbowe hakuna mtu binafsi aliyelalamika kuwa amemtendea ubaya zaidi ya hofu ya watawala kisiasa.

Ila hata Ditopile mlimkingia kifua lkini Kamwe uovu haushindi wema.
Kuna nguvu za asili zinazofanya kazi Kwa haki na kulipia wanaoonewa.

Kama kweli alifanya yaliyokuwa yanasemwa mpaka na akina mama basi ni Bora angetumikia haki yake gerezani!!
Hiiiiiiii, Ningekua mie kweli anipige misumari miguuni bila sababu , hiiiiiiii!!!
Halafu anashangilia kuwa ameshinda ningejakikisha anakua kichaa mazimaa.

Akatubu TU makosa yake aliyoyafanya sio vinginevyo. Bado hajashinda haki. Haki haishindwi.

Kama Wahalifu wakikatwa wanaachiwa hata Panya rodi wakikamatwa watatoka na Hali itakua mbaya.
 
1. Ukitaka kulamba asali inabidi asali yako ilambwe kwanza.

2. Ukimkuna anakupapasa
 
Namba 3 nimecheka Sana Mana kwenye uchaguzi watakugongea mlango kuhusu mchango wanajali chama
 
Back
Top Bottom