FAIDA ZA KUVAA MIWANI..hehe

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
7,354
Reaction score
4,771
[h=6]katika pitapita za leo nimemkuta muuza miwani pembeni ana bango limeandikwa.. FAIDA ZA KUVAA MIWANI
1.KUFICHA AIBU UKITEMBEA
2.HATA KAMA MBAYA UTAONEKANA MZURI/HB.,
3.USAIDIA KUFICHA WALE WENYE MACHO MABAYA,.
4. USAIDIA KUONEKANA WE MTOTO WA MJINI NA SIO WA KUJA,.KARIBUNI SANA. .

JamanI, so wavaa miwani sifa zenu..
[/h]
 
Unaoneka msomi hata kama umeishia darasa la 3
 
Usiache kubwa na ya muhimu....Miwani ni kinga ya kupoteza uwezo wa kuona na pia kuongeza nguvu ya kuona....please enhance and protect your vision (eyes)
 
Gogoz au ile mikubwa wanayovaaga masista du na mabrazamen
 
Hahahaha! Mi mwenyewe inanisaidia kweli kuficha aibu. Lol.
 
wakongo wa akudo sound na ngwasuma wanavaa sunglases usiku jukwaani! Duh cjui macho ya paka?
 
Tena napenda ya rangi ya njano
Unawaona watu kama wameogea binzari
Raha

We Kongosho wewe! Umenivunja mbavu!.......kitu binzari! Umekumbuka nini mpaka ukatumia neno hilo?
 
@obsesd, sina nyama, malalika

ha ha ha,
huwa hamuoni miwani za njano zinavyokuwa?
Full binzari
 
Mimi napenda yenye tinted mtu akikuangalia kwa karibu anajiona sura yake kama imebonyea bonyea na kicha kama kiko dissfiguredl ol
 
kumbe wewe hutumia lenzi mbonyeo nyeusi
mie hutumia lenzi mbinuko ya njano

kombinenga nzuri?

Mimi napenda yenye tinted mtu akikuangalia kwa karibu anajiona sura yake kama imebonyea bonyea na kicha kama kiko dissfiguredl ol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…