Faida za Kupiga.

Faida za Kupiga.

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757
Ngoja na mimi nianze mazoezi ya kuwapiga wazee,wakuu wanaweza kuniona nikawa promoted.

pmakonda.jpg
 
Wala usihangaike kupiga usije ukazidisha kipigo ukaua! Unataka ukuu wa wilaya! Ni rahisi sana, we mtukane na kumponda Lowassa hadharani! Hii pia imempaisha Makonda!
 
Wala usihangaike kupiga usije ukazidisha kipigo ukaua! Unataka ukuu wa wilaya! Ni rahisi sana, we mtukane na kumponda Lowassa hadharani! Hii pia imempaisha Makonda!
lusinde katumia sana mbinu hiyo kwa kuwatukana viongozi wa chadema,hata unaibu uwaziri hajaupata.mi naona hii ya kupiga wakuu wanakuona haraka sana.
 
Back
Top Bottom