Enzi za chai maharagwe (daladala) mzee mmoja aliletewa chupi 4 toka ng'ambo na mtoto wake. Siku moja alikurupuka asubuhi kuwahi chai maharagwe hata akasahau kuvaa chupi. Alikaa kwa kujiachia akidhani kavaa chupi mojawapo kumbe kasahau. Abiria wa upande wa pili wakaanza kumshangaa lakini yeye alidhani wanaishangaa chupi. Akawaambia "mnaishangaa hii moja, ninazo 3 kama hizi nyumbani"!!!!mkuu mtaani kwetu, kuna nyumba iliwaka usiku, baba mwenye nyumba alitoka na koti afu chini malighafi zote wazi, aliporudiwa na akili alisema yeye alikurupuka akiwa na msuli, so hajui koti kalitoa wapi?
Mnh.. kulala uchi maisha ya uswahilini unaweza kuamka umevunjiwa yai au ukaamka ushapigwa rungu
kwani sasa ivi una lalaje?Nalala na nightdress basi....simple dress lakini no chupi....hunishauri ng'oooo
kikojozi na umekamatwa maranyingi weyeKulala uchi kunakosesha uthibitisho wa alie kojoa kitandani..ππ
Nitakutembelea usikubasi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
naona alikuwa na mishe zake tu, kapita juu kwa juuvipi alidondosha mzigo au bado anazingua?
Hahahaaa wewe Tabutupu ukishajua ufanye nini [emoji23]kwani sasa ivi una lalaje?
Nitamshauri vizuri. haaaaaHahahaaa wewe Tabutupu ukishajua ufanye nini [emoji23]
ha ha ha na ukubwa wote huu nijikojelee..!kikojozi na umekamatwa maranyingi weye
haaaa.. siku ukilala uchi lazima ujikojoleeha ha ha na ukubwa wote huu nijikojelee..!
nakumbuka kpnd niko mdogo nljkojolea ktandan sister akanikurupua asubuh kuona kashika fmbo nikalala mbele ilikuwa ktuko sku hiyo maana alkuwa ananifukuza nikiwa uchi dyudyu njenje utoto bhana raha kwelikweli...πππ
UkomeeeNitakutembelea usiku
kwa sasa sizani maana ubongo ushakuwa sawa mwili ukihisi kuna kojo tu naamka kulimwagia uwanihaaaa.. siku ukilala uchi lazima ujikojolee