Faida za kulala uchi

Si na wewe unaamini Karma? Sasa unawezaje kusema hayo[emoji115] [emoji115] usilopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio
usichukulie serious bhana, mimi na ibra ni zaidi ya hapa
 
Huu ni uongo sidhani kama kuna kinachoweza kuzuiliwa na Nguo ktk ulimwengu wa Roho.
Labda urudi udadavue zaidi.
 
Mnh.. kulala uchi maisha ya uswahilini unaweza kuamka umevunjiwa yai au ukaamka ushapigwa rungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…