Faida za kulala uchi

maumbile yetu wengine yalivo, na nyumba tunazo lala kama stoo, style mbaya za kulala....Mende asije akakosea pakujificha weeeee.....japo kuna raha yake kulala nacked...
 
Bora umeanza na 'INASADIKIKA' na asiyesadiki?
Ndoto ni sehemu ya maisha ya binadamu na utengemea mazingira.
Mtu wa sehemu za baridi na wa sehemu za joto ndoto zao ni tofauti.
Kila jambo lina maelezo, inategemea na itakavyoelezwa.
Hii ni dhana tu, hazina prove
 
Siku ukivamiwa ndo utaona umuhimu wa kulala walau na bukta
Hatari! Una kuta jitu lina mwili na kitambi kikubwa kama Le Mutuz ikitokea nyumba imewaka
Then likikurupuka usiku uchi.. si hatari hiyo jamani?
 
Mimi nalalaaga uchi uchi lakini sharti niweke bukta pembeni mwa kitanda.
 
basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
Na Wakukufanya Ulale Uchi Hivyo, Unaye!! Uko Pekee Chumbani Na Kitandani!! Mhhhh!! Hata Night Dress!!!?? Tehe! Tehe! Tehe!! Akitimba Kk Jambazi, Sipati Picha!!
 
Naona umezungumzia faida tuu, ngoja tuangalie na hasara zake.
HASARA:
*Ikitokea janga la moto majirani wote wataona uchi wako
*Na ukivamiwa na majambazi hata kama walikuja kwa nia ya kuiba tuu alafu wakakuona uko uchi lazma wabadili gia angani na kukupanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…