Faida za kulala uchi

Dah!ctaki hata kukumbuka,kuna jamaa alivamiwa cku1 na majambaz akiwa amelala uchi na mke wake,majambaz walivutiwa sana muonekano mzur wa yule mwanamke,basi majambaz wakajisevia!
Jambazi halisi kazini hana muda huo, hao walikuwa na visasi vyao tu ambavyo hata kama angekuta wamevaa majeans wangetenda walichotenda...
 
Unataka kutuambia jini viumbe vilivyoumbwa kwa moto vinaweza kuzuiliwa kwa kutumia nguo?
 
Unalala uchi bwenini tena boys school wakikunyoso utasema umeonewa...?
 
Unataka kutuambia jini viumbe vilivyoumbwa kwa moto vinaweza kuzuiliwa kwa kutumia nguo?

Haviwezi kuzuiliwa kwa kutumia nguo ila inasemekana kuwa matamanio yao huzidi zaidi waonapo utupu wa mwanamke
 
Jambazi halisi kazini hana muda huo, hao walikuwa na visasi vyao tu ambavyo hata kama angekuta wamevaa majeans wangetenda walichotenda...
Subiri yakukute ndo utakapojua kama ni jambazi halisi au fake!!
 
#TeamWachawi
Bora niwajue wenzangu.....
Acha mwili ule raha nao lala uchi ufukuze giza
 
Hii kwa masela wanaolala getto zaidi ya watano haifai maana wengine hawaaminiki.kwakweli siwezi kulala uchi kabisa lazma nivae boxer au bukta.
 
Ishu ni pale utakapo ingiliwa na popo bawa
 
Inategemea na mvuto wa body mkuu wengine tukikaa uchi tunakuwa kama dune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…