Faida za kulala uchi wa mnyama

Kwahiyo na wewe mkuu alikugaragaza [emoji2960][emoji2960]
 
Nwaeza kulala na boksa Ila sio uchi bila sababu, ikitokea Basi ujue nimepiga shoo ya nguvu na wife kiasi kwamba baada ya hapo sijali kabisa kuhusu nguo..!
Mi sijaoa na sina demu lakini huwa nalala uchi
 
Aiseeh...😀😀 Ila hiyo ya kuongeza upendo nimeipenda, maana hakuna vikwazo ni ukigeuka tu imooo.
 
Ngoja na leo lala hivyo utatwambia...
Maana keshakuotea na kusoma location ulivyosema kabsa[emoji3][emoji3][emoji3]
Ila kuna kipindi nikilala uchi huwa napata ndoto nyevu.
 
Kwa sasa nina 25 lakini ndoto hizo hinipata mara kwa mara mkuu.
Nauliza mfano wenye miaka kama 40 hivi huwa wanapatwa na hizo ndoto au teenagers na twenties ndo wanachafua viboxers
 
ni matumaini yangu popo bawa kashasabusikiraibu kwenye uzi huu na soon walala uchi mtatuletea mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…