Umeniwahi mkuu, na hii ndio sababu ndoa nyingi sana zina changamoto ya kukosa furaha na amani. Haya makitu yakimuingia mmoja wenu yanaharibu chemistry yenu in full!Ila kiroho sio vizuri, Ni hatari mno, Sishauri mtu alale uchi. Unakaribisha jini mahaba na roho chafu zinazozunguka usiku.
Hivi kwan yapogo hayo makitu??Umeniwahi mkuu, na hii ndio sababu ndoa nyingi sana zina changamoto ya kukosa furaha na amani. Haya makitu yakimuingia mmoja wenu yanaharibu chemistry yenu in full!
Kama kawaida mkuu mana hizi pumbu zangu nazieshimu kuliko kitu chochote [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]Ahahahahahaha
Ngumu kama jiwe au sio
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mheshimu mzee wewe achana na pumbKama kawaida mkuu mana hizi pumbu zangu nazieshimu kuliko kitu chochote [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahah yapo mzee, nshaishi nalo moja likawa linatembea ndani kabisa unaona vivuli tu. Acha kabisa yani ila nilitafuta tiba maana mahusiano yalikuwa yanaenda kuvunjika nilipo apply tiba hali ya amani ikarejea mpaka leo. Bibie alikuwa akiniona tu lazma akiwasheHivi kwan yapogo hayo makitu??
Mm sijawahi msikia mtu akishuhudia hii
Ni maoni yako au ni Biblical?Ila kiroho sio vizuri, Ni hatari mno, Sishauri mtu alale uchi. Unakaribisha jini mahaba na roho chafu zinazozunguka usiku.
Hebu tupia ka video tuone u Gwajima wakoHahah yapo mzee, nshaishi nalo moja likawa linatembea ndani kabisa unaona vivuli tu. Acha kabisa yani ila nilitafuta tiba maana mahusiano yalikuwa yanaenda kuvunjika nilipo apply tiba hali ya amani ikarejea mpaka leo. Bibie alikuwa akiniona tu lazma akiwashe
Halafu tule Sana nyasiNi mpango wa mwenyezi Mungu
Mke na mme walale uchi.
Ndio maana Adam na Eva waliumbwa bila boxer na nightdress
Ngozi zinapogusana kuna connection hapo zisizo za kawaida.
Laleni uchi wadau.
😅😅👀👀 weee usiniambieNatamani ningekuwa huo mto hapo 😌
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee muhimu sana kumuheshimu ndio uhanaume wenyewe mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mheshimu mzee wewe achana na pumb
Yani ndio hivyo 😎 ningekuwa nachungulia tu jipapa😅😅👀👀 weee usiniambie
[emoji15][emoji15][emoji15] Extrovert iyo ni kweli au uzushi aiseee ilo si jini mkuu au inakuwajeHahah yapo mzee, nshaishi nalo moja likawa linatembea ndani kabisa unaona vivuli tu. Acha kabisa yani ila nilitafuta tiba maana mahusiano yalikuwa yanaenda kuvunjika nilipo apply tiba hali ya amani ikarejea mpaka leo. Bibie alikuwa akiniona tu lazma akiwashe
Pumbu ni mabody guards...ndo yapo katikat ya mzee mwenyewe kuhakikisha usalam[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee muhimu sana kumuheshimu ndio uhanaume wenyewe mkuu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Halafu tule Sana nyasi
Weeeeee....Hahah yapo mzee, nshaishi nalo moja likawa linatembea ndani kabisa unaona vivuli tu. Acha kabisa yani ila nilitafuta tiba maana mahusiano yalikuwa yanaenda kuvunjika nilipo apply tiba hali ya amani ikarejea mpaka leo. Bibie alikuwa akiniona tu lazma akiwashe
Ukilala uchi unaingiliwa na mchawi au saingine jini kabisa. Maana unakua exposed kwenye ulimwengu wa giza. Wakikatiza angani tu wanakuona live umejiachia hata kama umejitia blangeti😂😂😂[emoji15][emoji15][emoji15] Extrovert iyo ni kweli au uzushi aiseee ilo si jini mkuu au inakuwaje
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hiv mkuu unajua boxers zetu za kisasa ni kama tu upo uchi au unasemaj[emoji3]Ukilala uchi unaingiliwa na mchawi au saingine jini kabisa. Maana unakua exposed kwenye ulimwengu wa giza. Wakikatiza angani tu wanakuona live umejiachia hata kama umejitia blangeti[emoji23][emoji23][emoji23]
Yeyote mwenye nia ovu anaweza kukuingia ki wizard.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh umetisha sana ndio mana mfalme analindwa sana na mabodigadi kama mashine na mapumbuziii[emoji14][emoji14]Pumbu ni mabody guards...ndo yapo katikat ya mzee mwenyewe kuhakikisha usalam[emoji3][emoji3]