Faida za kulala uchi wa mnyama

Lala tu uchi kwani ukipakuliwa unapata hasara gani bro?acha uchoyo
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] siwezi pakuliwa kabla ya kulala nasali sana sasa ilo dudu kenge linaanzaje kwa mfano kuja
 
Mwisho; chukua hatua sasa, kama ulikua unalala na nguo ni muda wa kuanza kufanya mabadiliko na kumuhusisha mwenzako pia.[emoji23]
 
Mzee umetisha ila nyumba ya kupanga ya uswahilini watakuwekea vikao lazima maana wakipiga chabo umeumia
 
wee endeleza huo ujinga wako, ipo siku utajikuta ushapapaswa tako.
 
Sasa apo umeongea point mkuu sasa swali linakuja je kwa sisi tusio na wake kulala bila nguo huoni kama huleta fedheha ktk fikra za ubongo naomba kuelewa zaidi
 
"Hulinda sehemu za siri; kwa mwanaume kulala bila nguo huweka korodani zako katika hali ya ubaridi na kusaidia kutengeneza mbegu nyingi za kutosha, lakini pia kwa mwanamke huupa uke hewa ya kutosha ya oksijeni na kuzuia magonjwa ya fangasi yanayopenda kushambulia huko."
Hii point itanishawishi kulala bila nguo
 
Kwa iyo ata blanketi na shuka ni upuzi...???
 
Ina ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…