Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,446
- 7,989
Kutaka katiba mpya ndo mchepuko eti shida ikaanzia hapo. Mimi sioni umuhimu wa kutulia na katiba iliyopo Kama mchepuko unafaa.Mbona chadema hawana michepuko lakini kutwa wanataabika?
Upo sahihi, lakini pia sio tu kupunguza Kinga ya mwili unaweza ukaambukizwa nuksi pia maana michepuko wengine Wana nuksii....!!!Kama hauchepuki hovyo utakuwa na afya njema coz kufanya ngono sana kunapunguza kinga ya mwili
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi, lakini pia sio tu kupunguza Kinga ya mwili unaweza ukaambukizwa nuksi pia maana michepuko wengine Wana nuksii....!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ssfi sana wengi hawajui hili pia utakuwa na.maisha marefuKama wewe ni mtu ambaye huchepuki, nakupongeza sana na hamna ambacho unakikosa kutoka kwa mwenza wako. Watu wengi wanafikiri kuna amani au furaha ambayo wataipata wakichepuka, ukweli ni kwamba kila siku wanazidi kukimbizana na wanawake wapya na hawakipati wanachokipata. Baki njia kuu, hata kama kuna foleni utafika unakoenda kwa amani na bila magonjwa.
Zifuatazo ndizo faida za kubaki njia kuu.
Utapata amani moyoni
· Utaepukana na magonjwa
· Utakuwa na Furaha isiyo elezeka
· Utajimini zaidi
Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia)
· Utafurahia tendo la ndoa zaidi
(Michepuko haina chochote cha zaidi ambacho
· mkeo au mumeo hana)Utasonga mbele kimaendeleo
· Utapata muda mwingi wa kuwa na familia yako
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ndiyo wanataabika muulize Nape na PolepoleMbona chadema hawana michepuko lakini kutwa wanataabika?
Hizi nuksi hua zinatupata sisi maskini tu.. ina maana mo dewji alipotekwa ilikua ni nuksi ya kutembea na mwanamke au? Mbona yeye hapati nuksi au hatafuni mbususu?😁Hapo Kwenye Nuksi Mkuu...[emoji736][emoji736]
Sababu Mnakutana Sio tuu Kimwili lakini Kiroho.
Sisi Wanaume Tamaa Hazituishi Hata mimi mwenyewe natamani Mkuu!
Hio point ya 6 hapo ndio inapelekea hao michepuko!Kama wewe ni mtu ambaye huchepuki, nakupongeza sana na hamna ambacho unakikosa kutoka kwa mwenza wako. Watu wengi wanafikiri kuna amani au furaha ambayo wataipata wakichepuka, ukweli ni kwamba kila siku wanazidi kukimbizana na wanawake wapya na hawakipati wanachokipata. Baki njia kuu, hata kama kuna foleni utafika unakoenda kwa amani na bila magonjwa.
Zifuatazo ndizo faida za kubaki njia kuu.
Utapata amani moyoni
· Utaepukana na magonjwa
· Utakuwa na Furaha isiyo elezeka
· Utajimini zaidi
Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia)
· Utafurahia tendo la ndoa zaidi
(Michepuko haina chochote cha zaidi ambacho
· mkeo au mumeo hana)Utasonga mbele kimaendeleo
· Utapata muda mwingi wa kuwa na familia yako
Sent using Jamii Forums mobile app