youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,638
- 3,641
1. KAZI NA MIKATABA (Tenda) Ukisajili biashara yako kama kampuni, nafasi ya kupata kazi kubwa za mkataba (contract au tenda) huongezeka mara nyingi zaidi. Makampuni na taasisi nyingi hupendelea kushirikiana na kampuni badala ya mtu binafsi, kwa sababu kampuni huonekana kuwa na uwajibikaji na uhalali zaidi kisheria na kibiashara.
2. WAFADHILI NA UWEKEZAJI Iwapo unatafuta wafadhili au wawekezaji, uwepo wa kampuni hukupa nafasi kubwa ya kushawishi na kuaminika haraka. Wafadhili mara nyingi huona usalama zaidi kuwekeza kwenye kampuni kuliko kwa mtu binafsi, kwa kuwa kampuni inatambulika rasmi na serikali.
3. KODI NA GARAMA HALALI Kampuni hukuwezesha kulipa kodi kwa usahihi na kisheria. Hii ni kwa sababu baada ya kufanya mauzo, unaweza kutoa gharama zote za biashara ulizotumia (kama vile manunuzi, mishahara, na huduma mbalimbali). Hivyo basi, kodi inalipwa tu kwenye faida halisi, badala ya mapato ghafi.
4. ULINZI WA MALI BINAFSI Moja ya faida kubwa ya kampuni ni kutenganisha mali zako binafsi na mali za kampuni. Iwapo kampuni itakuwa na madeni, wadai hawawezi kukugusa mali zako binafsi (kama nyumba au gari lako). Hii inaleta usalama mkubwa kwa maisha yako ya kifamilia.
5. KUANZISHA BIASHARA NYINGI CHINI YA KAMPUNI MOJA Kampuni moja inaweza kusajili leseni zaidi ya moja kwa ajili ya shughuli tofauti. Hii inamaanisha unaweza kufanya biashara nyingi tofauti kwa kutumia jina moja la kampuni bila matatizo ya kisheria.
6. URITHI WA BIASHARA Biashara ikiwa chini ya kampuni, ni rahisi sana kuirithisha kwa ndugu, watoto au mtu mwingine wa karibu. Hii inahakikisha biashara inaendelea hata baada ya wewe kuacha kuisimamia. Lakini ukiwa unafanya biashara kama mtu binafsi, mali hiyo hukoma na wewe.
Ukitaka kufungua kampuni au jina la biashara, tutakusaidia hatua zote kwa haraka sana. 👉 Fika ofisini kwetu au piga simu sasa hivi kwa namba: +255693880325