Faida za ku-cheat!

Faida za ku-cheat!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,902
Reaction score
9,323
..................kwanza unapokuwa unarudi kwa mpenzi wako hata akil7inga wewe unamcheka moyoni!
#1 Unakuwa na kumbukumbu ya kufuta massage na dial call na kubakiza za washikaji!!
#2 Kutoandika namba za ukweli katika Phone Book!
#3 Kujua kupangilia mda wakukutana na cheater wako!
#4 Kuwa na kumbukumbu ya Password ya simu yako!
#5 Ukitaka kwenda hata kuoga huwezi kuacha simu hovyohovyo nivigumu kupoteza simu!
#6 Kuwa na simu ya ziada haidha unaiacha offisini au katika gari!
#7 Nimarufuku kuweka sauti kwenye simu, hii nikuzuia noises mambo ya mazingira hayo!
#8 Ukitoka kugegeda ni marufuku kutumia visabuni vya hotelini vile vidogo!!

Zingine mtaendeleza #TeamB
 
duuh! kama kweli unampenda utamlinda. sijawahi kuona faida ya maana ya ku cheat. zaidi tu ni matatizo makubwa na siku zote majuto ni wakuvanga! utatamani ardhi ikumeze uepuke matokeo ya kuchepuka.Kama unaona uliyenaye anatenda tofauti anza mkakati wewe mwenyewe jichunguze , je mimi ninamtendea mwenzangu kila kitu 100% right? then tafakari kisha chukua hatua ya kumsaidia naye akutendee likewise then maisha yataenda vyema na kila mtu atamuona mwenzake unique!
 
Yani Mentor nikikuona kwenye huu uzi wallahi utakuwa kwenye expat sinia bazazi !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom