Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 591
- 238
unapata tiGo kiulainiiiiiiiiii
Haya Mabazazi Vin Diesel Mentor Asprin, mwekundu Mndengereko, Rogie, n.k njooni mtuambie faida mnazopata pale mnapocheat.
Unamwombea nani sasa kama ni mumeo si atakugawia na wewe kidogo
aahahahahahha
na ayapate tuu
Akipa na wewe umepata,muombe Mungu apitishe mbali hiyo makitu
ama nimuombe Mungu uaminifu uwepo?
nadhani hilo ndo bora zaidi
Hapa sasa upo sahihi ila mchepuko haukwepeki hahaa hahaaa
chepuka unase
hakuna kinachoshindikana..baki njia kuu
Asante mama ushauri ngoja tujitahidi ila utata
ahahahah
Ushindwe na ulegee
..................kwanza unapokuwa unarudi kwa mpenzi wako hata akil7inga wewe unamcheka moyoni!
#1 Unakuwa na kumbukumbu ya kufuta massage na dial call na kubakiza za washikaji!!
#2 Kutoandika namba za ukweli katika Phone Book!
#3 Kujua kupangilia mda wakukutana na cheater wako!
#4 Kuwa na kumbukumbu ya Password ya simu yako!
#5 Ukitaka kwenda hata kuoga huwezi kuacha simu hovyohovyo nivigumu kupoteza simu!
#6 Kuwa na simu ya ziada haidha unaiacha offisini au katika gari!
#7 Nimarufuku kuweka sauti kwenye simu, hii nikuzuia noises mambo ya mazingira hayo!
#8 Ukitoka kugegeda ni marufuku kutumia visabuni vya hotelini vile vidogo!!
Zingine mtaendeleza #TeamB
9.Cheating inakufundisha mbinu za kijeshi hata kama simwanajeshi.ie kubana kwenye kabati la nguo,uvunguni na hata kwenye pipa la maji ikibidi.Uwezo huu ni raslimali nzuri kwa taifa letu.
Ushindwe na ulegee
Huwa ni noma!9.Cheating inakufundisha mbinu za kijeshi hata kama simwanajeshi.ie kubana kwenye kabati la nguo,uvunguni na hata kwenye pipa la maji ikibidi.Uwezo huu ni raslimali nzuri kwa taifa letu.
Mimi nina rafiki yangu huo ndo mtindo wake ana simu 2 ya officin mke haijui ikifika saa 11 jioni haipo hewani!Nimecheka sana,
Hiyo no. 6 kuwa na cm unaiacha ofcn bdo ipo? Kuna watu ndoa ilivunjika baada ya kugundua anatumia cm nyngne ofcn, mwananume alitonywa na washkaj akaanza kuchat nae mpk appointment, kdg azirai mdada wa wtu ck anaenda anakutana na mme wake!
Mwongo yeye jamaa yake akilegea atafurahi??Nani ashindwe na nani alegee?
Akilegea mtamuelewa kweli?