Faida za ku-cheat!

Faida za ku-cheat!

Kucheat kuna faida kama partner wako player au msumbufu,..inammaliza ngebe zotee
 
hakuna faida yoyote ya kucheat,,
ni mateso tupu!
 
..................kwanza unapokuwa unarudi kwa mpenzi wako hata akil7inga wewe unamcheka moyoni!
#1 Unakuwa na kumbukumbu ya kufuta massage na dial call na kubakiza za washikaji!!
#2 Kutoandika namba za ukweli katika Phone Book!
#3 Kujua kupangilia mda wakukutana na cheater wako!
#4 Kuwa na kumbukumbu ya Password ya simu yako!
#5 Ukitaka kwenda hata kuoga huwezi kuacha simu hovyohovyo nivigumu kupoteza simu!
#6 Kuwa na simu ya ziada haidha unaiacha offisini au katika gari!
#7 Nimarufuku kuweka sauti kwenye simu, hii nikuzuia noises mambo ya mazingira hayo!
#8 Ukitoka kugegeda ni marufuku kutumia visabuni vya hotelini vile vidogo!!

Zingine mtaendeleza #TeamB

9: unajifunza mambo mapya na kuongeza ujuzi
10: unapunguza stress
11: unapata ladha mupya
12: inaleta kujiamini
13: unapata mambo ambayo hupewi nyumbani k.v care, kudekezwa, n.k
to be continued.....
 
***** zako na nusu. Unatoa siri za baraza la mawaziri bila ruhusa. Jiuzulu....
 
9: unajifunza mambo mapya na kuongeza ujuzi
10: unapunguza stress
11: unapata ladha mupya
12: inaleta kujiamini
13: unapata mambo ambayo hupewi nyumbani k.v care, kudekezwa, n.k
to be continued.....

14 unajiongezea vijidudu vidogo vidogo vitakavyowapa shida ndugu zako ya kukucare
 
16. unakua una majukumu ya kulea zaidi ya familia moja..na hivo kutokutimizia mahitaji muhimu kwa familia yako
17.unakua mfano mbaya kwa wanao
18.kale kaugonjwa kakikupata,unakua msumbufu .
nb; nakuombea ukanyage miwaya na magonjwa yote ya zinaa
 
unaonja ladha tofauti lakini kikubwa ni hupati muda wa kuwa commited katika mapenzi hasa ukizingatia mapenzi nowdays yanazingua hasa mwenza wako akijua kwake hupindui kulia wala kushoto

tena kwa wanawake ndiyo hukuona zoba , kumbe mtu unampa heshima tu..............
 
16. unakua una majukumu ya kulea zaidi ya familia moja..na hivo kutokutimizia mahitaji muhimu kwa familia yako
17.unakua mfano mbaya kwa wanao
18.kale kaugonjwa kakikupata,unakua msumbufu .
nb; nakuombea ukanyage miwaya na magonjwa yote ya zinaa

Unamwombea nani sasa kama ni mumeo si atakugawia na wewe kidogo
 
..................kwanza unapokuwa unarudi kwa mpenzi wako hata akil7inga wewe unamcheka moyoni!
#1 Unakuwa na kumbukumbu ya kufuta massage na dial call na kubakiza za washikaji!!
#2 Kutoandika namba za ukweli katika Phone Book!
#3 Kujua kupangilia mda wakukutana na cheater wako!
#4 Kuwa na kumbukumbu ya Password ya simu yako!
#5 Ukitaka kwenda hata kuoga huwezi kuacha simu hovyohovyo nivigumu kupoteza simu!
#6 Kuwa na simu ya ziada haidha unaiacha offisini au katika gari!
#7 Nimarufuku kuweka sauti kwenye simu, hii nikuzuia noises mambo ya mazingira hayo!
#8 Ukitoka kugegeda ni marufuku kutumia visabuni vya hotelini vile vidogo!!

Zingine mtaendeleza #TeamB
#9 Unaukaribisha UKIMWI
 
Back
Top Bottom