Faida za kiuchumi za Uwanja wa Ndege Chato

Umuhimu wa Chato airport ulikuwepo kipindi mheshimiwa yuko hai, sasa hamna umuhimu, kwa sababu mipango yake ya kufanya chato urbanization kibabe itapotea na kuwa kitovu cha utalii nayo itapotea.

Ukanda na ukabila ambao ulishamili kipindi chake ulikuwa na dhumuni la kukuza miji yake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umuhimu wa uwanja wa ndege Chato haupo,achilia mbali kwa nchi hata kwa Chato yenyewe hakuna.
 
Tuzungumzie Umuhimu wa Chato International Airport Kwa Uchumi wa nchi yetu ya Tanzania
Hauna umuhimu ni sawa na BAZOLITE INTERNATIONAL AIRPORT wa MABUTU. ingependeza uwe CHATO NATIONAL BASKETBALL STADIUM, kwavile chini ni sakafu ya lami.
 
Katika watu wenye mawazo ya ovyo wew wa kwanza. Umejitaidi kutoooa takwimu ili kujenga hoja ila nikiwa Mtalaam wa hayo mambo nakuona kinachokusumbua ni muhemuko tu. Hoja ni kwanin uwanja wa Kimataifa ujenge chato7 ulitakiwa ujikite hapo tu...
Ubarikiwe
 
Wewe mleta Post unapajua CHATO au umetumwa kuleta post hapa,

CHATO ni kijijini kabisa, mbuga ya wanyama haina hata wanyama, hadi wasombwe kwa magali ya Jeshi, na wakigikishwa polini hawakai, kwa akili ya kawaida hata ya chekechea, toka uwanja huo wa CHATO ufunguliwe, Kuna ndege ngapi zimepeleka watalii, zaidi ya ndege ya mseveni na ndege ya Ikulu yetu?...
Rubbish hujui chochote kaa kimya unajua huko kuna wanayama miaka mingi sana, humu so mahala kwenu nenda JF ya wajimga wenzio huko
 
Back
Top Bottom