Faida za Kiafya za Magimbi (Taro root)

Faida za Kiafya za Magimbi (Taro root)

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,075
1751925562453.jpg

Faida za kiafya za magimbi (Arrow root):

Magimbi yana virutubisho kama vitamini C, E na B6. pia madini ya potassium, phosphorus, shaba, magnessium na manganese. Pia magimbi yana protini na fati

■ Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari hufanya isipande.

■ Hupunguza kasi ya mmeng’enyo wa chakula

■ Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo na mishipa ya damu.

■ Magimbi yana chembeche,ambazo zinazoongeza kinga ya mwili dhidi ya aina mbalimbali za Saratani.

■ Husaidia katika kupunguza uzito

■ Huboresha afya ya utumbo

■ Hulinda mwili dhidi ya mashambulizi

■■ Pia hutibu vidonda vya tumbo
Limenye vizuri kisha katakata vipande vidogo vidogo!

Kisha lianike sehemu salama!
Kisha likikauka twanga halafu unga wake uchanganye na asali mbichi .

Matumizi yake:

Lamba vijiko 2x3
Ndani ya wiki mbili utakuwa umepona kabisa.

Au weka vijiko viwili kwenye maji ya moto au uji .
Pamoja na kijiko kimoja cha asali koroga kunywa kikombe kimoja mara mbili kwa siku kila siku kwa siku 14.

Asili huponya
 
View attachment 3397794

Faida za kiafya za magimbi (Arrow root):

Magimbi yana virutubisho kama vitamini C, E na B6. pia madini ya potassium, phosphorus, shaba, magnessium na manganese. Pia magimbi yana protini na fati

■ Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari hufanya isipande.

■ Hupunguza kasi ya mmeng’enyo wa chakula

■ Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo na mishipa ya damu.

■ Magimbi yana chembeche,ambazo hulinda mwili dhidi ya saratani kwa kuuwa seli za saratani.

■ Husaidia katika kupunguza uzito

■ Huboresha afya ya utumbo

■ Hulinda mwili dhidi ya mashambulizi

■■ Pia hutibu vidonda vya tumbo
Limenye vizuri kisha katakata vipande vidogo vidogo!

Kisha lianike sehemu salama!
Kisha likikauka twanga halafu unga wake uchanganye na asali mbichi .

Matumizi yake:

Lamba vijiko 2x3
Ndani ya wiki mbili utakuwa umepona kabisa.

Au weka vijiko viwili kwenye maji ya moto au uji .
Pamoja na kijiko kimoja cha asali koroga kunywa kikombe kimoja mara mbili kwa siku kila siku kwa siku 14.

Asili huponya
Shukrani Mkuu midas natengenezea pdf file huu uzi utanifaa mbele ya safari
 
Kwa mara ya kwanza nimejua faida za magimbi, Kazi nzuri.

Kule uchagani magimbi tunapikia chakula kinaitwa ng'ande au kibulu, Balaa lake halina tofauti na mtu aliekula mayai maharage na parachichi
 
Full cha Yusufu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom