Faida za COMPUTER/IT certifications hapa bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida za COMPUTER/IT certifications hapa bongo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mkakatika, Jul 26, 2011.

 1. Mkakatika

  Mkakatika Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wanajamvi ninaomba ushauri wenu kuhusu faida za certifications za IT hapa bongo. Pia certifications ambazo zina soko hapa bongo. Zipo nyingi ninzozijua mimi ni CCNA, CCNP, MCSE, CERIFICATION ZA DATABASE-ORACLE na CISA,CISM.

  Msaada tafadhalini ili niamue nisome nini kati ya hizo juu na nyingine kama zipo.
   
 2. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama una muda we soma zote,kuhusu umhimu wa certifications in kuwa zinaongeza extra skills na kufanya wewe uonekane uko- [FONT=&quot]Competent kwenye field husika. So inapokuja suala la ajira hapo ndipo utaona umuhimu zaidi wa Certifications. Kwa sababu kama wanataka graduate wa Computer science na mpo kumi the wewe una Certification ya CCNA au CCNP lazima wewe utapewa priority kuliko wenzio. Tatizo bongo zina b[/FONT]ei sana maana hiyo CCNA pale UCC ni USD 600...
   
 3. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Fukc the USD, kwahiyo kila kitu sikuhizi mnatumia dola?
   
 4. Mkakatika

  Mkakatika Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante sana chief lugina kwa mchango wako. Inasikitisha sana kwa wale walioko kwenye ajira hata mtu akisoma hizo certification, mwajiri hatambui skill hiyo kwa kutoa a certain award au increament.

  22nd
  Dola inatumiwa sana hadi kodi ya pango la nyumba wana quote kwa dolaz. Ni huzuni sana na ni tatizo lililokosa ufumbuzi.
   
 5. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Issue za USD kwenye Certifications nadhani inatokana hiyo certification. Mfano CCNA,CCNP zinatolewa na Cisco so wale ni full $ tu. But unakuta hata hao Ucc ambao ni wabongo wanantoa training pia wana rate course hizo interms of $.
   
 6. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Issue za USD kwenye Certifications nadhani inatokana hiyo certification. Mfano CCNA,CCNP zinatolewa na Cisco so wale ni full $ tu. But unakuta hata hao Ucc ambao ni wabongo wanantoa training pia wana rate course hizo interms of $. Lakini kama unaona vp unaweza kuregister pale Ucc au DIT then unakamua mwenyewe ukiwa fit unaenda kupiga paper.
   
Loading...