Usisahau na mrejesho ukishapiga Kali magongaa!!!Sawa mkuu
hakuna faida yoyote
1. Kuimpruvu katika kuongea lugha za kigeni hasa kiingereza
2. Kufuta kabisa misongo ya mawazo.
3. Kuleta hamu ya kula vyakula vyenye nutrients hivyo kupelekea mnywaji kuwa na afya njema muda wote (ndio maana wanywaji huwa hawaumwi hivi vijigonjwa vidogovidogo)
4. Mnywaji huwa mbunifu sana wa kutafuata hela mpaka ipatikane kwa sababu huamka asubuhi mifuko mitupu.