My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
- Thread starter
- #21
Nimesema Serikali haina faida yoyote kwa wananchi wapi hutaki kuelewa?Tafadhali rejea mada yako....
Nimesema Serikali haina faida yoyote kwa wananchi wapi hutaki kuelewa?Tafadhali rejea mada yako....
Wewe tu ndo umeliona hilo???Nimesema Serikali haina faida yoyote kwa wananchi wapi hutaki kuelewa?
Usinipangie cha kuongea wewe juha, nimesema Serikali haina faida yoyote kwa wananchi ,ndo nimesema sasa,utanifanya nini wewe 🦮🦮🦮🦮🦮?Kumbuka siko hapa kuitetea serikali wala siko hapa kuunga mkono hoja yako....sitaki nisikie unasema serikali haina faida yoyote kwa wananchi
Sawa ni mimi tu ndo sijaona hilo,haya wewe uliyeona hilo tuambie faida za Serikali kwa wananchi [emoji16][emoji1][emoji1]Wewe tu ndo umeliona hilo???
Nimekuorodheshea huko nyumaSawa ni mimi tu ndo sijaona hilo,haya wewe uliyeona hilo tuambie faida za Serikali kwa wananchi [emoji16][emoji1][emoji1]
Ikosoe serikali kwa kiasi cha madhaifu yake lakini sio useme haina faida yoyote huo ni upumbavu...Tazama ulivyo juha jinga kweli wewe [emoji2417][emoji2417][emoji2417][emoji2417]
Nimesema ni takataka kabisa kwanini hutaki kuelewa pathetic wewe [emoji38]Ikosoe serikali kwa kiasi cha madhaifu yake lakini sio useme haina faida yoyote huo ni upumbavu...
Mimi ni mpumbavu kuliko walioharibu Uchumi wa Tanzania? Na kusababisha mfumuko mkubwa wa Bei,acha Bangi zako hapa [emoji16]Ikosoe serikali kwa kiasi cha madhaifu yake lakini sio useme haina faida yoyote huo ni upumbavu...