Faida ya kuwa Dar

wakuu Leo nawaletea faida za kuishi dar mtaongezea za kwenu pia

Faida ya Kuwa Dar-es-salaam
Rais anaapishwa Dar
Ikulu ipo Dar
Magorofa marefu yapo Dar
Magari ya Mwendokasi yapo Dar
Tren za Mwakyembe zipo Dar
Yanga ipo Dar
Simba ipo Dar
Azam ipo Dar
Bahari ya Hindi ipo Dar
Hospital ya Hindi Taifa ipo Dar
Coco Beach ipo Dar
TV zote kubwa zipo Dar
Radio zote kubwa zipo Dar
Kombe la Dunia liliishia Dar
Mtaa wa Rooney upo Dar
Uwanja wa Kimataifa wa Mwl
Nyerere upo Dar
Uwanja Taifa upo Dar
Uwaja wa Uhulu upo Dar
Ukumbi mkubwa wa Dar Live upo Dar
Wasanii wote wakubwa wapo Dar
*Daraja zuri na lakuvutia la Mwl
Nyerere lipo Dar*
Singeli zipo Dar
Vigodoro vipo Dar
Ndondo Cup ipo Dar
Aliyemkumbatia Rooney yupo Dar
Aliyemkumbatia Kaka wa Brazil yupo
Dar
Michael Jackson aliishia Dar
Obama aliishia Dar
Makilikili yaliishia Dar
Endeleeni kukaa huko huko Mikoani
mkitoa funza Miguuuni
, *Vitu vizuri tunaanza kula sisi
kisha makombo yanapelekwa
Mkoani*
Kama nawaona vile mnataka
kutokwa povu"!! Hahahahaa

Usisahau na bashite yupo dar

the great
Haaaaa haaa iko njema dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom