Faida ya kuukalia uchumi ndio sasa inadhihiri

Faida ya kuukalia uchumi ndio sasa inadhihiri

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,180
Old is gold, ni kama alikuwa na maono fulani hivi ,pale Raisi wa mwanzo wa Tanzania Mwalim JK.Nyerere (Julius Kambarage Nyerere) alipowafurahisha wengi na kutupa msemo wa "Watanzania uchumi wanaukalia".

Tuna gesi asilia,tuna mafuta ,tuna Uranium tuna mengi tu,itatu hivi ni lulu kwa Taifa lolote lile, Uganda hao wameanza kuota mbawa.

jambo gani hadi leo tumeshindwa kutumia mafuta, kutumia gesi kutumia uranium kibiashara ya nje na ndani ,wataalamu nasikia wanasema mafuta yaliopo Tanzania ndio chemchem ya mafuta yanayopatikana huko majangwani hadi urusi,ile channeli yake ,kwa maana tutoboa hapa itakuwa kama tangi linalovuja.

Gesi Tanzania ni ya kwanza kutokana na vipimo nilivyosikia.

Sasa najiuliza tunasubiri kiama ndio tuanze kuingiza mirija au siku tukianza kuyavuta na huko majuu yatakuwa hayatumiki tena maana sasa watu wanakwenda kwenye high breed .

Uchumi haufai kukaliwa au tunasubiri Chadema ndio mkombozi ,inawezekana waliopo madarakani wanafurahia.
 
Tanzania nyumbu ni wengi kuliko watu wenye akili timamu,huyu tuliye naye anacho waza ni safari za kwenda kuwasalimu wajomba wavaa kobazi.
 
Back
Top Bottom