aisee pole sana kwa mapito!Mungu ni mwema naaamini atakusaidia,ila usikate tamaa na uamini kazi itakuja kwa wakati ufaao,ata mm nilisha experience maisha ya ujobless kweli yanakatisha tamaaakwa upande wangu sioni faida ya kusoma, nimetafuta kazi nimechoka sasa nimeamua kuanguka chini na kumlilia mungu inawezekana kuna dhambi kubwa sana nimetenda ambazo zinazuia mafanikio yangu, haiwezekani nimemaliza chuo 2010. nimetafuta kazi mpaka nimechoka hakuna,nimejaribu kufungua ofisi hata mwaka sijamaliza nimeshindwa, maisha yamekua magum hakuna furaha ni kilio tu sasa kweli nimeamua kuomba toba kwa mungu tu. maana inawezekana kanipa kisogo kabisa na masikio kaweka pamba.
Umesoma kozi gani gani?
Dadavua hapa watu wakusaidie.
elimu bora uliyoipata kwenye maisha yako ni elimu ya kujua kusoma na kuandika, unaweza kufanya chochote ama kuwa chochote unachotaka kwa kujua kusoma na kundika. fungua macho na ondoa fikra za kutaka tu kuajiriwa na utaanza kuona fursa nyingi zilizo mbee yako.kwa upande wangu sioni faida ya kusoma, nimetafuta kazi nimechoka sasa nimeamua kuanguka chini na kumlilia mungu inawezekana kuna dhambi kubwa sana nimetenda ambazo zinazuia mafanikio yangu, haiwezekani nimemaliza chuo 2010. nimetafuta kazi mpaka nimechoka hakuna,nimejaribu kufungua ofisi hata mwaka sijamaliza nimeshindwa, maisha yamekua magum hakuna furaha ni kilio tu sasa kweli nimeamua kuomba toba kwa mungu tu. maana inawezekana kanipa kisogo kabisa na masikio kaweka pamba.
diploma ya journalism
elimu bora uliyoipata kwenye maisha yako ni elimu ya kujua kusoma na kuandika, unaweza kufanya chochote ama kuwa chochote unachotaka kwa kujua kusoma na kundika. fungua macho na ondoa fikra za kutaka tu kuajiriwa na utaanza kuona fursa nyingi zilizo mbee yako.
yaani mpaka unaanza kumkebehi Muumba kisa hujapata kazi tokea umalize chuo mwaka 2010! Je wenzio waliokosa bahati ya kusoma, je wale waliopata ulemavu waakili ambao hata wangepata nafasi ya kusoma wasingeweza, je wale wanaoumwa kitatanda miaka nenda miaka rudi watamwambiaje Mwenyezi Mungu? Kuwa na subira mkuu riziki yako ipo inakuja kama sio leo basi kesho. Changamoto unazopata zichukulie kama njia ya kutokea. Umesema ulifungua ofisi kabla ya mwaka ukaishindwa je umewahi kujiuliza tatizo ni nini?
Haja mkebehi Mungu apa. She just wondering why her things hazisongi mbele na wakati elimu anayo. Ni ngumu sana kuelewa kama hujawahi kupitia hali hii....kama umepata maisha kirahisi utaona poa tu. So dont complicate it au kuchukua baadhi ya lines kwenye thread na kuipotosha. U should read it careful and understand the whole thang. Sio kuandika mavimavi tu
Pole dada Jack. Siku hizi ajira zimekua mavi mavi tu. Endelea kumwomba Mungu atakusaidia.