kataip
Senior Member
- Aug 21, 2013
- 150
- 93
- Thread starter
- #21
Ana mume au aliipata hiyo mimba huko barabarani? Kama ana mume basi hakuna faida bali hasara ya kuletewa maambulizi from outside.
Kama huyo mtoi alimwokota barabarani, hata akikaa miaka 7 mbona bora zaidi amlee mtoi wake vizuri tuu? Kwani uzinzi na haswa ukiuendekeza na wanaume tofauti tifauti ni faida?? Achana nao we tulia utapata heshima
Kaolewa ila mume yu mbali na mke mpaka sasa wana mwaka kama na nusu hivi hawajakutana kimwili.