Faida ya kiangazi: Mbu wote wamepukutika!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Mimi huwa napenda kuiona glass ikiwa half full rather than half empty!
Yani huwa napenda kuchukulia positive site of the situation.
Wakati wengine wanalia lia na kiangazi mimi kwangu kwa upande mwingine ni jambo la furaha. Nimeteseka sana na Malaria na ni takrabini mwezi mmoja sasa natumia dawa ila siponi kutokana na usugu wa Malaria.
Sasa jana na leo nimejaribu kulala bila neti na nimeshangaa sijaumwa na mbu hata mmoja tofauti na zamani ambapo ilikuw virtually imposible kulala bila net.
Hapa ndipo nimejua kumbe kiangazi kimetokomeza mazalia ya mbu? Na hali ingeendelea hivi kwa miaka mingine mitano, Malaria ingekuwa historia hapa Tanzania...
 
Back
Top Bottom