Mhdiwani
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 650
- 707
- Thread starter
- #21
Yah ni kweli kwa matumizi inategemea na mtu na mtu kwasababu kipimo cha hizo MBEGU kwa siku unatakiwa utumie kiganja kimoja cha mkonoNi kweli zina madini mengi,ila kwa ushauri nenda Google ili uweze kujua ni kiasi gani unatakiwa utumie kwa siku kwani mwisho wa siku mtu utakula kikombe kizima kila siku matokeo yske zinakuletea madhara,mimi nilishawahi kuzitumia nilichogundua ni kuwa mzunguko wa damu ukawa juu,yaani mapigo ya moyo yakawa ya kasi kidogo,nikaingiwa na hofu nikaachana nazo...
Kwahio hapo utaona vipimo vinatofautiana mtu na mtu