Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,345
Nimeitoa hukoo Facebook kwa bwana wa kuitwa Ramadhan Lutambi
1.Mvuta sigara hazeeki,
Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu.
2.Mvuta sigara haumwi na mbwa.
Haumwi na mbwa kwa vile Kifua na mapafu yanapooza mapema hivyo hulazimika kutembea na bakora.
3.Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi.
Haingii mwizi kwa kuwa inafika wakati mvuta sigara halali kwa kukohoa usiku kucha. Hivyo mwizi anajua bado yupo macho.
‪Aliye‬ elewa amwambie na mwenzie.