Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,814
- 63,698
Umesema sahihi sana MkuuVyakula asilia,mazoezi na mengineyo.Zamani mzee akisema ana hamu na tikiti maji,analetewa zima na analimaliza,sasa hivi hilo tikiti kwasababu ya maisha kua magumu,tunakula watu kumi,wakati upande wa mazoezi,wao ilikua ni deile,hakukua na bodaboda wala taxi,mtu anaenda kulima umbali wa kilomita 30 au 40 analima na anarejea kwa miguu.Zamani nasasa si sawa,sasa hivi kilakitu ni cha kisasa labda maji tu huko vijijini ndo asilia.
Hata wakati ule tunasoma Shule ilikuwa tunatembea kilomita 15 kwenda Shule na 15 kurudi hadi tumemaliza Masomo
Vyakula hivi vya GMO vimefanya tuwe wavivu na kukosa nguvu kabisa.
Sahivi unaweza Kulala na mpenzi wako ukaishia kupiga viwili tu usiku mzima 🙌