Faida saba za wanawake wembamba

Faida saba za wanawake wembamba

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,649
Reaction score
57,042
1.hawazeeki mapema
2.kila nguo inawapendeza
3. hawakinaishi yaani hawana minyama minyama kwenye mapaja ambayo inaweza kukufanya ukawachoka au ukapata uvivu wa kuwapelekea moto.
4.wako shapu yaani Kama kuna mission unacheza nao fasta wanaikamilisha hata kutembea kwao tu wakitembea fasta Bado wanavutia ila kibonge akitembea fasta fasta anachekesha.
5.wengi wana akili na vipaji.
6.wengi Ni wapole.
7.Ni rahisi kuwabeba hata ukitaka kumfukuza unamnyanyua na kumrusha nje ila vibonge akiamua kukaa hata kumnyanyua TU utashindwa uanzaje
So binafsi japokuwa mnasema chura ndo habari ya Sasa lakini Mimi daima nitasimama na slims mpaka mwisho kwa sababu faida Ni nyingi kuliko hasara.Na stori yangu ndio imeishia hapa.
 
Front sit....nikiunga mko hoja
 
Siku ukikuta wanasema nimebaka kimbaumbau dah watakuwa wamenionea sana. Mimi napenda mabonge wana joto
 
Halafu vicheche karibu wote ni wanawake wembamba ,wako shapu sana kimsaidia jilani
 
Back
Top Bottom