Faida saba za wanawake wembamba

Faida saba za wanawake wembamba

1.hawazeeki mapema
2.kila nguo inawapendeza
3. hawakinaishi yaani hawana minyama minyama kwenye mapaja ambayo inaweza kukufanya ukawachoka au ukapata uvivu wa kuwapelekea moto.
4.wako shapu yaani Kama kuna mission unacheza nao fasta wanaikamilisha hata kutembea kwao tu wakitembea fasta Bado wanavutia ila kibonge akitembea fasta fasta anachekesha.
5.wengi wana akili na vipaji.
6.wengi Ni wapole.
7.Ni rahisi kuwabeba hata ukitaka kumfukuza unamnyanyua na kumrusha nje ila vibonge akiamua kukaa hata kumnyanyua TU utashindwa uanzaje
So binafsi japokuwa mnasema chura ndo habari ya Sasa lakini Mimi daima nitasimama na slims mpaka mwisho kwa sababu faida Ni nyingi kuliko hasara.Na stori yangu ndio imeishia hapa.
Upo sahihi boss mwanamke mwebamba hakinaishi wala nn ila ile yenye chura yakitokwa jasho kule daaaah yananuka balaa. Samahanini kama nimewatukana
 
Mnofu
IMG-20190407-WA0039.jpeg
 
Write your reply...chura chura chura narudia tena lazima uwe na biriani ujazijazie msingi wa nyumba Choo asilimia 90 ya wanaume tunalijua hili .nyama nzuri ni ile yenye steki
hatutaki English figure, sura wala akili maana akili atatumia zangu mtoa Mada nakukumbusha tu zawadi ya kudumu nikubarikiwa wowowo kwa wanawake sura ata wanaume wapaka poda wanazo nzur kuliko Dada zao


unakuwa mwembamba unaitwa selina we hauna tofauti na sele
 
Back
Top Bottom