Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kuanzia madereva mpaka wakata tiketi wote wameajiriwa proper kwa maana ya kwamba wanalipwa msahara na kukatwa kodi pmj na mafao na kuwa na Bima ya Afya kwao na familia zao, ni ajabu kuna watu wanaona ni bora daladala ambazo Wafanyakazi wao wote ni day worker au vibarua yaani siku akipata pancha hana hela wakati DART wanalipwa mwisho wa mwezi, lkn nigas bado wanaponda juhudi kama hizi!