Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

wote wanaweka bwana tena mwanaume ndo rahisi sana kitu kimesi***** unamwagia maji mote kinalala chenyewe na husikii tena maluweluwe. Si ukajaribu halafu usisahau kuja kunipa matokeo sawa eeehhh au sio hc?!!

duh!
 
Mbona sikuoni sasa uko wapi. nishafika chumba kile kile chenye hewa na kitanda kikubwa

kalaghabaooo! we bado unafanyiaga kitandani? no wonder mnalia hapa mara hooo wanaume hivi mara hooo.....maji yanachemshwa halafu yanaenda mahali panapohusiana na maji! bafuniiii
 
kalaghabaooo! we bado unafanyiaga kitandani? no wonder mnalia hapa mara hooo wanaume hivi mara hooo.....maji yanachemshwa halafu yanaenda mahali panapohusiana na maji! bafuniiii

Sasa si niko chumba chenye bafu au unataka mabafu ya nje wewe niko bafuni
 
raha ya la nje halafu ambalo ni paspot size linakuwa poa sababu itakulazimu uiname tha whole journey....na mi habari za kuinamisha ni....

Mkuu la ndani kwa ndani mapigo! mnachemsha, yakipoa mnayapasha papo kwa papo
 
Four forces of nature
-Light
-fire
-water
-earth
Use them at a balance and everythng will be fine!!
 
Ktk uchunguzi wangu mdogo nimegundua wanawake wakienda kuoga hupendelea kuwa na maji ya moto sana pembeni!wadau hii inatokana na nini??msaada kwenu
 
wanawake wakienda kuoga hupendelea kuwa na maji ya moto sana pembeni!

Hapa unapata picha uchunguzi huu ulifanywa uswahili, unaona dizaini mtu kabeba ndoo na kikopo anaelekea bafu la magunia au makuti urefu size ya picha za passport.
 
hypothesis inasema wanaosha sehemu za siri...... but lets carry on with a research to verify if its true
 
Former G-Friend wangu aliwahi kuniambia kuwa anatumia maji ya moto ku supress hamu ya mambo fulani. Hivyo kama haja do na anasikia hamu, anachukua maji ya mato na kumaliza haja. Ni staili fulani ya kujichua.
 
Back
Top Bottom