Mimi nilifanya kwa kutumia mashine ya Selcom,kama alivyosema mdau hapo juu uitumie kama kivutio cha biashara nyingine na uwe sehem yenye mzunguko lasivyo faida yake utaona aibu hata kuiangalia,commission zao ni ndogo kiukweli,mi ilinishinda sahivi mashine ipo tu ndani.Hasara; Usipokuwa makini unaweza pata hasara sana tu,mfano ukikosea kuingiza namba ya simu wakati wa kurusha vocha ukamrushia mtu mwingine ndo imekula kwako.